Mgombea Ubunge Jimbo la Mafinga mjini akinadi sera na ilani za chama chake jana mjini Mafinga katika uzinduzi wa kampeni za ubunge. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mafinga Mjini ambalo ni jimbo jipya la uchaguzi kimezoa wanachama wapya kutoka Chama cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati wa uzinduzi wa kampeni za ubunge zilizofanyika katika viwanja vya Mashujuu jana. Wanachama hao wapya walikabidhiwa kadi za chama hicho na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Jesca Msambatangu ambaye alikuwa mgeni rasmi. Wanachama huo wapya wakiongea na Nipashe muda mfupi baada ya kukabidhiwa kadi za CCM kwa nyakati tofauti walisema wameamua kutoka CHADEMA na kujinunga na CCM kutokana sababu nyingi kubwa ni chama cha CHADEMA kuendesha siasa za kuhamasisha vujo. Walisema kuwa wamechoshwa na maneno na vitendo vya Mgombea urais kupitia Chadema Edward Lowassa na makada wenzake wa CHADEMA na vyama shirika vya UKAWA toka wameanza kampeni katika maeneo mbalimbali ya nchi na kwa ...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.