Skip to main content

Posts

Showing posts from December 10, 2015

MAGAZETINI LEO IJUMAA

WAFANYAKAZI WA NURU FM 93.5 IRINGA WAFANYA USAFI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA IRINGA

Fredy mgunda ambaye ni chief repoter wa radio nuru fm  hawa muhamed na devota romanus wakiwa eneo la tukio wakifanya usafi shauri mkwawa a.k.a mama la mama na wafanyakazi wenzake wakifanya usafi shauri mkwawa a.k.a mama la mama na wafanyakazi wenzake wakifanya usafi Wafanyakazi wa kituo cha redio nuru fm 93.5 iringa wamejitokeza kufanya usafi katika hospital ya rufaa ya iringa kwa lengo la kumuunga mkono rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dr john pombe magufuli. Wakizungumza wakati wakiwa wanafanya usafi katika eneo hilo wamesemakuwa wameamua kufanya usafi katika hospital hiyo kwa kuwa ndio hospital inayohudumia wananchi wengi kuliko hospitali nyingine zilizopo mkoani hapa. Denis nyali ni mhariri wa habari wa radio hiyo amesema kuwa wameamua kufanya usafi kwa lengo la kuwaonyesha wananchi na wafanyakazi wa hospital hiyo kuwa iringa kuwa safi inawezekana kutokana na kauli moja tu aliyoitoa rais imekuwa gumzo kila kona hivyo ...

Africa gets $10bn renewable energy boost

Flickr.comFile image by Keith Galens Paris – The French government and nine other partners on Tuesday renewed their commitment to mobilise a cumulative US$10 billion between 2015 and 2020 to boost access to energy in Africa. Canada, France, Britain, Germany, Italy, Japan, the United States, Sweden, Netherlands and the European Union (EU) will jointly provide the money which will help developing countries adapt to global warming and build renewable energy sources. Germany is contributing €3,3 billion, while France, the US, Britain, Canada, Japan, Italy, Sweden, Netherlands and the EU Commission would contribute the remaining €6.7 billion. The announcement was made during the ongoing climate talks at the 21st Conference of Parties (COP) to United Nations Framework Convention on Climate Change (UNFCCC). The Africa Renewable Energy Initiative aims to achieve at least 10 GW of new and additional renewable energy generation capacity by 2020 which would be sufficient to ...