Skip to main content

Posts

Showing posts from October 2, 2015

MAGUFULI AITEKA SINGIDA, KESHO KUNGURUMA LIVE UWANJA WA NAMFUA

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiombewa Dua na mmoja wa kiongozi wa dini mara baada ya kusimamishwa na Wananchi wa kijiji cha Puma (hawapo pichani),alipokuwa akielekea mkoani Singida mara baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara wa kampeni.  PICHA NA MICHUZI JR-SINGIDA. Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru kiongozi huyo wa dini kwa kujitolea kumuombea Dua ya heri na afya njema katika nafasi yake ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Mnadani Ikungi mkoani Singida jioni ya leo ,wakati akiwaomba wananchi hao kumpigia kura za ndiyo ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi wa Rais , Wabunge na Madiwani.  Dkt. Magufuli amesema serikali yake itahakikisha inazisaidia taasisi mbalimbali hasa za mashirika ya dini ambazo zinaendesha hospitali...

LOWASSA ATIKISA MONDULI

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa leo ameitikisa wilaya ya Monduli na maeneo yake. Lowassa ambaye anaendelea na kampeni zake katika mikoa mbali mbali nchini, ambapo baada ya jana kulitikisa jiji la Dar es Salaam,leo ameendeleza na harakati zake katika maeno ya Monduli ambapo ni Nyumbani kwa mgombea huyo. Ambapo akiwa Nyumbani kwake huku ametumia mda huo kuwataka watanzania kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura na kumpa ridhaa ya kuongoza huku akizidi dai kuwa amezamilia kuwakomboa watanzania katika hali ngumu ya maisha.

Lebanon posts climate pledge amid Syria crisis pressures

Syrian refugee students line up for classes at Bourjhammoud Public School in Beirut, Lebanon on June 2, 2014. (Photo: Dominic Chavez/World Bank   By Alex Pashley The disintegration of Syria has hit neighbouring Lebanon hard – but it still turned in its climate plan on time. The tiny Mediterranean country has absorbed over 1.1 million registered refugees in two years, swelling its population by 30%. That has placed extreme strain on its stretched resources and capacity to curb greenhouse gas emissions, the government said on Wednesday. According to its submission a day before a UN deadline, the refugee surge over that period has increased demand for water by 12%, road traffic is 5% higher, while its power needs have jumped 10%. Meanwhile, electricity purchased from Syria has been cut off – dropping 88%. “This demand can currently only be met through private generators, leading to additional carbon emission and air pollutants,” read its UN communicati...

UNESCO YAENDELEA KUZIJENGEA UWEZO REDIO ZA JAMII NCHINI

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akizungumza katika kongamano lililowakutanisha watendaji kutoka Redio za jamii nchini katika mji wa Terat, wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana. Mwenyekiti wa Muungano wa Redio za Kijamii nchini (COMNETA), Sekiku Joseph akizungumza katika Kongamano hilo ambalo amesisitiza umuhimu wa viongozi wa Radio za kijamii kuthamini michango inayotolewa na wafadhili ili iweze kuwa endelevu. Mshauri na Mkufunzi wa masuala ya vyombo vya habari jamii kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bi. Rose Haji Mwalimu akisistiza jambo katika mafunzo hayo. Afisa Miradi mpya wa Unesco, Nancy Kaizirege akisisitiza jambo. Mkurugenzi wa Redio ya Jamii Uvinza FM, Ayub Kalufya akichangia mada na kuomba Unesco kuendelea kutoa usaidizi kwao kutokana na mchango wanaoutoa kwa jamii. Afisa Miradi mpya w...