Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt. Charles Mlingwa akiongea na wazazi,walimu na wanafunzi wa shule ya msingiUtegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi madawati kwa shule hiyo jana. Jumla ya madawati 235 yalitolewa kwa mkoa huo. Pichani kutoka kushoto Meneja waTigo Mkoa wa Mara, Edwin Kisamo,Meneja wa Tigo kanda ya ziwa, Edgar Mapande ,Mkuu wa wilaya ya Rorya, Simon Chacha na Mwenyekiti wa Halmashauri mka Mara, Albert Machiwa Meneja wa Tigo Mkoa wa Mara, Edwin Kisamo akiongea na walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi madawati kwa shule hiyo jana. Meneja wa Tigo kanda ya ziwa, Edgar Mapande akiongea na walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi madawati kwa shule hiyo jana, Wengine pichani kushoto kwake ni mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt.Charles Mlingwana Mkuu wa wilaya ya Rorya, Simon Chacha. Mkuu wa Mko...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.