Skip to main content

Posts

Showing posts from January 9, 2017

KARIMJEE JIVANJEE FOUNDATION REWARDS YOUNG SCIENTISTS 2016

Diana Sosoka and Nadhra Mresa (All photos: Daniel Mbega of MaendeleoVijijini Blog) Diana and her father, Sosoka Paul Young Scientists Tanzania (YST) Executive Director, Dr Gozbert Kamugisha  Dr Kamugisha with scholarships Diana Sosoka, Nadhra Mresa and their teacher Mr Rashid Namila.  By Daniel Mbega of MaendeleoVijijini Blog Dar es Salaam: THE Karimjee Jivanjee Foundation (KJF) has rewarded Diana Sosoka and Nadhra Mresa from Mtwara Girls Secondary School for being overall winners of the Young Scientists Tanzania (YST) Awards in 2016. Speaking at a press event to send off the winners to Dublin, Ireland, the KJF Team said the winners would receive scholarship from the foundation to study at any local university when they complete their high school education.  They both take a combination of Chemistry, Biology and Geography and aspire to be medical doctors. The students are travelling to Dub...

VIJANA NCHINI WAASWA KUJITUMA NA SIO KUKAA BURE…

Bwana John Massao na Theresia Massao wakiwa katika mmoja ya mizinga walioweka katika msitu wa halmashauri ya Manispaa ya Iringa eneo la Gangilonga, mkoani Iringa jana. (Picha na Friday Simbaya) IRINGA: VIJANA nchini wanatakiwa kujishughulisha na ufugaji wa nyuki kisha kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato, kiuchumi kuliko kutegemea serikali kuwatafutia ajira. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Mkurugenzi wa TEJO’s Honey, John Massao jana wakati akiongea na nipashe, ambao niwazalishaji na wasindikaji wa asali asilia mjini iringa.  Massao alisema kuwa vijana ndio kundi kubwa lisilokuwa na ajira wala mapato katika mfumo wa maisha na wanahitaji kujiajiri kwa kutumia rasilimali na maliasili zilizoko katika mazingira yao. Aliwataka vijana hao kujiunga kwenye vikundi vya pamoja na kuanzisha ufugaji wa nyuki na kuweza kupata asali na nta kisha kupata soko litakalosaidia kujiinua kiuchumi na kuongeza mapato katika familia ikiwa ni pamoja na kuepuka...