Skip to main content

Posts

Showing posts from September 21, 2015

RC AFUNGUA KIKAO CHA KUJADILI AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza (kushoto) akifungua kikao baina ya Viongozi wa vyama vya Siasa, viongozi wa Dini, Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa na wazee wa Iringa. Hoja kujadili Amani kuelekea uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais mwaka 2015. Kulia ni Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Iringa, Wilfred Myuyu

SERIKALI YAKIRI CHANGAMOTO LICHA YA MAFANIKIO AJIRA KWA VIJANA

Meza kuu katika warsha ya wadau wa ajira kwa vijana iliyofadhiliwa na Mpango wa Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Canada (IDRC) na kuratibiwa na ESRF. Kutoka kushoto ni Afisa kutoka Wizara ya Kazi na Ajira kitengo cha Ajira, Joseph Nganga, Mkurugenzi wa Kazi katika Wizara ya Kazi na Ajira, Ally M. Ahmed, Mkuu wa utafiti na machapisho Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Profesa Fortunata Makene, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na Mratibu Kazi wa Shirika la Kimataifa la Kazi (ILO) Dk. Annmarie Kiaga. (Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog ) Na Mwandishi wetu PAMOJA na kuwepo na maendeleo ya kuridhisha katika suala la ajira kwa vijana, serikali imekiri kwamba ukosefu wa ajira bado ni tatizo kubwa duniani na kwa taifa kwa ujumla. Kutokana na hali hiyo suala la ajira kwa vijana limebaki kuwa ajenda kuu nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kazi katika Wizara y...

TPHA CHATOA ELIMU DHIDI YA KUPAMBANA NA TUMBAKU KWA VIJANA WADOGO DAR

Mratibu wa Mradi wa Madhara ya Tumbaku (TPHA) Dk. Bertha T.A. Maegga akizungumza wakati akifungua kongamano hilo lililo washirikisha wadau mbalimbali kwa kutoa muhutasari wa Madhara ya Tumbaku. (Picha na Geofrey Adroph) . Na Andrew Chale [Dar es Salaam] Chama cha Afya ya Jamii nchini (TPHA), kimeendesha kongamano maalum kwa wanafunzi wa shule msingi zaidi ya Saba ndani ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kutoa elimu ya madhara yatokanayo na utumiaji wa bidhaa za Tumbaku pamoja na kujikinga na athari zake mbaya baadae. Akielezea katika kongamano hilo, Afisa wa TPHA ambaye pia ni msimamizi na mtaafiti wa masuala ya kupambana na madhara ya Tumbaku, Dk. Bertha Maegga amebainisha kuwa, kwa sasa Chama hicho kinaendesha mradi uliopewa jina la “80 CHILDREN STRONG” ukitoa elimu kwa vijana wadogo wenye umri wa miaka 10-14, hasa wa shule za msingi. Dk. Maegga akihutubia umati wa wanafunzi wa shule hizo saba katika kongamano hilo lililofanyika shule ya Msingi Kijitony...

KIJA: PWDs should not be perceived as objects of curiosity or violence

Dar es Salaam University College of Education (DUCE) lecturer Lucus Kija (blind) who was also the facilitator showing one of machines used by PWDs called a braille to journalists during the training workshop last week held in Iringa Region. (Photo by Friday Simbaya)  Participants People with disabilities (PWDs) should not be perceived as objects of curiosity or violence but they also have the right to participate in government and elections has it speculated in the Universal Declaration of Human Rights of 1948. However, for PWDs to fully enjoy these rights, a great deal need to be addressed by the state, and in order to reverse this trend, roadblocks/barriers needs to be called for attention. According to the lecture from Dar es Salaam University College of Education (DUCE) Lucus Kija (blind), made the statement during the inclusive election project training to media in Iringa region last week. He said that there are attitudinal, en...