Kutoka kushoto ni Msajiili wa Bodi ya Maziwa Tanzania Nelson Kilangozi, Kaimu wa Mwenyekiti wa Baraza la Wadau wa Maziwa Tanzania, Mark Tsoxo, Mwenyekiti wa Baraza la Wadau wa Maziwa Tanzania Dr. Ally Majani, Mwenyekit wa Bodi ya Maziwa Tanzania Aichi Kitalya na mwakilishi kutoka wizarani. Mwenyekiti wa Baraza la Wadau wa Maziwa Tanzania Dr. Ally Majani akifungua mkutano wa mwaka wa kumi na mbili (12) wa baraza hilo ,unahusisha wajumbe wote waliochagauliwa toka katika wilaya zote Tanzania unaofanyika mkoani Njombe, wakati wa maadhimisho ya Kitaifa ya wiki ya Maziwa. Maadhimisho ya wiki ya maziwa kitaifa yanafanyika katika viwaja vya shule ya sekondari Mpechi mkoani Njombe ambapo kesho ni kilele. NJOMBE: Kaimu Mkuu Wa Mkoa Wa Njombe Anatory Choya Amewaagiza Walimu Wa Kuu Na Wakurugenzi Kuanzisha Utaratibu Wa Kufuga Ng'ombe Wa Maziwa Kwa Shule Za Sekondari Na Msingi Ili Wana...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.