Skip to main content

Posts

Showing posts from December 27, 2014

TUNACHOTA MAJI...!

Wakazi wa mtaa wa Isoka B Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa ambao hawakufamika majina yao mara moja wakichota maji kwenye mpira wa maji uliopasuka. Ni kawaida kukuta hali kama hii sehemu nyingi za ambao watu wanapasuwa bomba la maji kunakopelea mamlaki ya maji safi na taka (IRUWASA) kukosa mapato.

MAGAZETI LEO JUMAMOSI

. . .