Paroko wa Parokia ya Lugarawa, Jimbo la Njombe Padri Jordan Mwajombe (wa tatu kutoka kushoto) na Padri Benedict OSB (kulia) wa Parokia ya Peramiho katika Jimbo Kuu la Songea wakishirikiana kuongoza ibada ya mazishi leo yaliyofanyika kwenye Jumuyia ya Mtakatifu. Benadetta Kata ya Peramiho, Songea mkoani Ruvuma. Watoto wa marehemu Mzee Mhagama wakiweka taji kwa pamoja kwenye kaburi la baba yao wakati wa mazishi ya yaliyofanyika makaburi ya Lundusi. Mamia ya wakazi wa Peramiho wakiwa na huzuni kubwa wakati wa mazishi ya aliyekuwa mtumishi wa kiwanda cha uchapaji cha Peramiho, Mzee Bernhard Mhagama katika makuburi ya Lundusi Kata ya Peramiho, Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.