Skip to main content

Posts

Showing posts from January 28, 2018

ROTARY CLUB OF IRINGA DONATES TREE SEEDLINGS TO IRINGA GIRLS SCHOOL

By Friday Simbaya, Iringa  The Rotary Club of Iringa has planted more than 134 fruit trees and donated to Iringa Girls Secondary School as an ambitious strategy to plant trees in various schools for preserving planet earth.  The planting exercise at the school was headed by the president rotary club of Iringa Miraji Vanginothi in collaboration with Iringa District Commissioner Richard Kasesela.  The program of planting trees is their club program to preserve the environment hence protecting the planet earth from environmental degradation.  Iringa district commissioner Richard Kasesela who is also the rotaian said people should build a culture of looking after and helping other people so that their can live happily in their lives.  Kasesela gave the statement yesterday while speaking at a plant planting ceremony at Iringa Girls' Scondary School.  The planting exercise at the school was organized by the Rotary Club of I...

MWIGULU NCHEMBA AONGOZA JAHAZI KINONDONI...

Viongozi wa CCM wakiwa meza kuu wakati wa kumnadi mgombea wao. MBUNGE wa Iramba Magharibi, Singida, Mwigulu Nchemba ameongoza jahazi la makada, wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uzinduzi wa kampenzi za uchaguzi mdogo wa ubunge kwa jimbo la Kinondoni. Katika uzinduzi huo ambao umefanyika katika Viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam, CCM wamemnadi Maulid Mtulia na kuwaomba wananchi wa Kinondoni wampe kura za kutosha ili aweze kuwawakilisha vilivyo bungeni ikiwa ni pamoja na kutatua kero zao, kushirikiana na serikali katika kuleta miondombinu ya maendeleo kwa jimbo hilo. “Msije mkaenda kupiga kura ya uchaguzi mdogo kwa kiwango kidogo, mkapige kura kwa kiwango cha uchaguzi mkuu, kila mmoja akawe kampeni meneja wa mgombea wetu, aje na wapiga kura siku ya kupiga kura. “Sababu zote za msingi za ushindi tunazo sisi, wao wamebaki na neno moja tu kwamba ameama kwa nini?” alisema Mwgulu wakati akiwasihi wananchi kumpigia kura Mtulia.

HIVI NDIVYO CHADEMA WALIVYOTIKISA KINONDONI

VIONGOZI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ngazi ya Taifa wakiongozwa na mwenyekiti wao, Freeman Mbowe wamemuombea ridhaa ya kupigiwa kura na wananchi, Katibu Mkuu wa chama hicho kwa upande wa Zanzibar, Salum Mwalimu anayewania ubunge wa Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam. Prof Jay:  “Uwezo na sera za Mtulia tunazijua, nawzaa kutumia maneno makali lakini huo ndiyo ukweli, amewadharau sana watu wa Kinondoni. Tanzania nzima itatushangaa na tutakuwa tumeidharirisha Demokrasia, bora kuzungumza mengine kuliko habari za Mtulia.” Ester Matiku. “Inawezekana kabisa 2015 tulimchagua Mtulia kimakosa, Bwana amemfuata pepo la kujiuzulu, tumeletewa Salum Mwalimu. Februari 17, 2018 itakuwa ndiyo mwisho wa kuchagua watumishi wasaliti, tukampigie kura Mwalimu.”

MNEC SALIM ASAS AHIDI MAKUBWA KWA UWT WILAYA YA IRINGA

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) MNEC Salim Abri (Asas) akihutubia mkutano wa baraza la umoja wa wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Iringa vijijini jana na kuahidi kuchangia shilingi milioni tano kila mwaka katika mpango kazi wa UWT wa miaka mitano (5) 2018-2022 wa umoja huo. Aliyeketi kushoto kwake ni mwenyekiti wa UWT wilaya Iringa Lena Kongole. (Picha na Friday Simbaya )

ROTARY CLUB OF IRINGA YAPANDA MITI 134 YA MATUNDA KATIKA SHULE YA IRINGA GIRLS

Rais wa Rotary Club of Iringa Miraji Vanginothi akiongoza zoezi la upandaji miti katika shule ya wasicahna ya Iringa (Iringa Girls) liliandaliwa na Kikundi cha Rotary Club tawi la Iringa kazi hiyo ikishirikisha wanafunzi wa kidato  cha tano na sita na uongozi wa shule siku ya jumamosi, ambapo zaidi ya miti ya matunda 134 ilipandwa. (Picha na Friday Simbaya) Baadhi ya wanafunzi wa shule ya wasicahna ya Iringa (Iringa Girls) wakishiriki zoezi la upandaji miti katika shule hiyo liliandaliwa na Kikundi cha Rotary Club tawi la Iringa kazi hiyo ikishirikisha wanafunzi wa kidato  cha tano na sita na uongozi wa shule siku ya jumamosi. (Picha na Friday Simbaya) Rotary Club of Iringa imepanda miti ya matunda zaidi ya 134 katika ya wasichana ya iringa (Iringa Girls Secondary School) ikiwa mkakati kabambe wakupanda miti katika shule mbalimbali mkoani hapa.  Zoezi la upandaji miti katika shule hiyo iliongozwa na rais wa rotary club of iringa Miraji V...