Skip to main content

Posts

Showing posts from December 1, 2016

...YOUNG PEOPLE SHOULD BE PROACTIVE

YOUNG PEOPLE have been advised to become self-employed through vocational education to help the government reduce the challenges of unemployment in the country. The statement was made recently by the Principal of Don Bosco Youth Training Centre (DBYTC) of Iringa, Father Fred Njuguna during the 25th graduation ceremony of the vocational training centre. The centre is under Salesian organization of Don Bosco, an international religious organization working in 125 countries around the world with the youth. Father Njuguna has commented that for young people who are completing forms (IV and VI) and are supposed to enroll in the vocational education colleges after failing to enroll in the regular colleges due to various reasons. He said that there are students who complete their secondary education who remain idle and have no work to do, they enrolled and the vocational training facilities would help reduce the challenge of unemployment. He said that in order to suppo...

Kuelekea Tanzania Ya Viwanda

Link https://www.youtube.com/watch?v=L23i1a1fJC8&feature=youtu.be

MADIWANI MERU WAMKATAA MKURUGENZI

makamu mwenyekiti wa baraza la madiwani Meru akiwa anachangia hoja katika baraza hilo  baadhi ya madiwani wa meru wakifuatilia kikao mkurugenzi wa halmashauri ya Meru Christopher Kazer akifafanua jambo kwa waandishi mara baada ya baraza kumalizika mkurugenzi wa halmashauri ya Meru Christopher Kazer akijibu hoja mbele ya madiwani wa meru baadhi ya madiwani wakifuatailia Habari picha zote na Woinde Shizza, Arusha BARAZA la madiwani Halmashauri ya Meru mkoani Arusha wamkaanga Mkurugenzi wasema hana uwezo wa kuongoza Halmashauri hiyo. Akitoa maazimio ya kikao cha baraza kilichokaa siku mbili kilichowajumuisha madiwani,wakuu wa idara mbalimbali na wataalam Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Willy Njau Alisema wametafakari kwa kina utendaji wa Mkurugenzi na kubaini kuwa hafai. " Tumejadili ajenda ya utendaji usioridhisha wa Mkurugenzi wetu na tumeona kuwa haufai kutokana na mambo mengi anayo...

DC STAKI AZINDUA HUDUMA YA UPANDAJI MITI MAENEO OEVU KWENYE VYANZO VYA MAJI

Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Rosemary Staki amezindua shughuli ya kupanda miti maeneo oevu/ kwenye vyanzo vya Maji katika Kata ya Bwambo. Zoezi hilo limefanyika kwa ushirikiano na shirika lisilo la kiserikali la Floresta.

WARSHA YA PROGRAMU YA MAJI RUAHA KUHUSU SHUGHULI ZA MRADI BONDE LA MBARALI

Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka Bodi ya Maji Bonde la Rufiji (RBWB), Magreth Dionsi akielezea Sera ya Maji ya 2002 watika wa warsha ya siku mbili ya Programu ya Maji Ruaha (RWP)kuhusu shughuli za mradi bonde dogo la Mbarali na mkakati wa uendelezaji wake inayoratibiwa na shirika la WWF. Warsha hiyo inafanyika katika mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe. Afisa Maendeleo ya Jamii Bodi ya Maji Bonde la Rufiji (RBWB), David Muginya akielezea Sheria ya Maji Na 11, 2009  watika wa warsha ya siku mbili ya Programu ya Maji Ruaha (RWP) kuhusu shughuli za mradi bonde dogo la Mbarali na mkakati wa uendelezaji wake inayoratibiwa na shirika la WWF. Warsha hiyo inafanyika katika mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe.

KAYA MASKINI 78 KIJIJI CHA MAGUNGULI WALIPWA MALIPO YA MIEZI MIWILI

Afisa Maendeleo ya Jamii na Mratibu wa  Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Mkoa wa Iringa, William Kingazi akizungumza na walengwa wa malipo katika mpango wa kunusuru kaya maskini Kijiji cha Magunguli wilayani Mufindi, mkoani Iringa hivi karibuni.  Jumla ya kaya maskini 78 katika Kijiji cha Magunguli zinanufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini zimelipwa malipo ya miezi miwili (Novemba na Desemba) lakini kwa bahati mbaya wawakilishi wa kaya mbili kati hizi wamefariki dunia.  (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA) Afisa Maendeleo ya Jamii na Mratibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii halmashauri wa Wilaya Mufindi Mkoa wa Iringa,na Mwezeshaji katika vijiji kuhusu (TASAF) Emmanuel Mrutu akitoa utaratibu wa malipo kwa walengwa katika mpango wa kunusuru kaya maskini Kijiji cha Magunguli wilayani Mufindi, mkoani Iringa hivi karibuni. Jumla ya kaya maskini 78 katika Kijiji cha Magunguli zinanufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini zimelipwa malipo ya miezi miwili (Novemba na...