Skip to main content

Posts

Showing posts from June 11, 2018

Muslims have to do good deeds even after Ramadhan

Katibu wa Bakwata mkoani Iringa Kabigili By Friday Simbaya, Iringa  Islamic believers in the country have been encouraged to focus on ethics by doing good deeds in society, throughout the period they will be in the Holy Month of Ramadan and after the end of that month.  Sheikh Abubakari Chalamila for Iringa Region gave a statement at a breakfasting organized by the Tanzania Muslims Council (BWAKATA) and attended by over 350 invited guests in Iringa yesterday.  He said that Islam is a religion of peace so that a man may be close to his Creator should increase the worship and do good things especially in the month of Ramadhan.  "The month of Ramadhani's destiny we have to perform worship and to execute the oath as required, we have to expand the worship, be patient, obedient, disciplined and multiply our faith for all time," said Sheikh Chamilala.  Sheikh explained that many people have been attracted to things that are losing...

Waislamu waaswa kutenda matendo mema hata baada ya Ramadhan

Na Friday Simbaya, Iringa  Waumini wa Kiislamu nchini wamehaswa kuzingatia maadili kwa kufanya matendo mema katika jamii, kwa kipindi chote watakachokuwa kwenye funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan na baada ya kuisha kwa mwezi huo.  Sheikh wa Mkoa wa Iringa Abubakari Chalamila alitoa kauli wakati wa futari ilioandaliwa na Baraza la Waislamu Tanzania (BWAKATA) na kuhudhuriwa na walikwa zaidi ya 350 mjini Iringa jana.  Alisema kuwa Uislam ni dini ya amani hivyo ili mja aweze kuwa karibu na Muumba wake anatakiwa kuzidisha ibada na kufanya mambo yaliyo mema hasa kwenye mwezi wa Ramadhani.  “Mwezi wa funga wa Ramadhani tunatakiwa kufanya ibada na kutekeleza funga kama inavyotakiwa, tunatakiwa kuzidisha ibada, tuwe na subira, utiifu, nidhamu pamoja na kuzidisha imani yetu kwa muda wote,” alisema Sheikh Chamilala.  sheikh alieleza kuwa, watu wengi wamekuwa wakivutiwa na mambo yanayopoteza wakati na yasiyo na mazingatio wala manufaa kat...

RITA WAANZA MAJARIBIO YA MPANGO WA VIFO MKOANI IRINGA

Na Friday Simbaya, Iringa  Serikali kupitia wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja la Mafaita la kuhudumia watoto (UNICEF) na taasisi ya Bloomberg Data for Health pamoja na wadau maendeleo wengine imeanza kutekeleza mpango wa majaribio wa kusajili vifo mkoani Iringa.  Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa RITA, Emmy Hudson alisema hayo jana wakati wa kikao cha hamasa kwa viongozi wa mkoa na wilaya kuhusu majaribio ya mpango wa usajili wa vifo.  Alisema kuwa kwa mara pili, Mkoa wa Iringa umepewa nafasi yakutekeleza mpango wa majaribio ya usajili wa vifo baada ya kufanya vizuri katika mpango wa maboresho ya mfumo wa usajili wa vizazi kwa watoto walio umri chini ya miaka mitano.  Hudson alisema kuwa mkoa wa Iringa baada ya kufanya vizuri katika mpango wa maboresho ya mfumo wa usajili wa vizazi kwa kundi la watoto chini ya miaka mitano ambao ulianza kutekelezwa mwaka 2016, umepewa nafasi tena nafasi ya kutekeleza ...

RITA BEGINS REGISTRATION OF DEATHS PLAN IN IRINGA AS PILOT

By Friday Simbaya, Iringa  The Government through the Registration Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) in collaboration with the UNICEF and the Bloomberg Data for Health Institute and other development partners has begun to implement the program of registering deaths in Iringa region on experiment basis.  Acting Chief Executive Officer of RITA, Emmy Hudson said yesterday during a sensitization meeting for regional and district officials about the death registration program trials.  She said that for the second time, Iringa region has been given an opportunity to implement a death registration test plan after doing well in the program for the development of birth registration system for children under the age of five.  Hudson said that the Iringa region after doing well in the program for the birth registration of children under the age of five, which began to be implemented in 2016, has been given a chance to implement deaths registrati...