Skip to main content

Posts

Showing posts from February 20, 2017

MAGAZETI YA LEO

MAGAZETI YA LEO KWA HISANI YA IVORI CHOCOLATE, BIDHAA BORA KABISA!

WAJASIRIAMALI WASHAULIWA KUJIUNGA MFUKO WA BIMA YA AFYA

Kaimu Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Iringa, Lucas Gama akiongea na Nipashe jana. (Picha na Friday Simbaya) Wajasiriamali washauliwa kuunda vikundi ili waweze kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na hatimae waweze kurahisisha upatikanaji wa matibabu pindi wanapoenda hospitali kutibiwa. Akizungumza na Nipashe jana Kaimu Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Iringa, Lucas Gama alisema kuwa watu wasio watumishi wa serikali wanaruhusiwa kujiunga na mfuko wa bima ya afya kupitia vikundi vya ujasiriamali.  Alisema kuwa wajasiriamali toka vikundi mbalimbali mkoani Iringa wamehamasishwa kujiunga na mfuko wa NHIF, ili kurahisisha matibabu wawapo katika shughuli zao za kawaida, na kuongeza kuwa wajasiriamali watakaojiunga na mfuko huo na kuwa wanachama watalipia shilingi 76,800/- kila mmoja. Gama alisema kuwa mfuko wa NHIF ni mfuko wa kijamii unayotumia dhana ya ‘mshikamano wa kijamii’ kwa maana ya kuwa wanachama wote ni sawa m...

ENTREPRENEURS URGES TO JOIN HEALTH INSURANCE FUND

By Friday Simbaya, Iringa Entrepreneurs’ have been challenged to create groups so that they can join the National Fund for Health Insurance (NHIF) and eventually and access to medical care when they go to hospital to be treated. Speaking with The Guardian yesterday Iringa Region Acting Manager for National Health Insurance Fund, Lucas Gama said that people who are not civil servants are allowed to join a health insurance fund through entrepreneurial groups. He said that entrepreneurs from various groups in Iringa have been encouraged to join the NHIF package to simplify treatment while staying in their usual activities, adding that entrepreneurs who join the scheme will pay Shs 76,800/- each. Gama said that the NHIF is a fund of society that use the concept of 'social solidity’ meaning that all members are equal before the community, that is, a contributor who contributed little and big money all the same. He said that the NHIF responsibilities include ens...