Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Wamoja Ayubu (kulia) akifungua kikao (kushoto) ni Afisa Elimu Mkoa wa Iringa Mwalimu Joseph Mnyikambi Mkoa wa Iringa umezitambua shule 10 bora na wanafunzi 10 waliofanya vizuri zaidi katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2014. Shule hizo na nafasi kimkoa na kitaifa katika mabano ni St. Dominic Savio (1/ 39), Ukombozi (2/ 171), St. Charles (3/176), Ummusalaama (4/ 183), Wilolesi (5/210), Sipto (6/241), Star (7/ 252), Southern Highland (8/ 353), Lipalama”A” (9/367) na BrookeBond (10/520).
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.