Skip to main content

Posts

Showing posts from November 18, 2016

JUMIA TRAVEL YATOA TUZO KWA HOTELI ZINAZOFANYA VIZURI NCHINI TANZANIA

Meneja Mkaazi wa Kampuni ya Jumia Travel Tanzania, Fatema Dharsee (kushoto), akielezea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo. Hafla ikiendelea. Wadau wakiwa kwenye hafla hiyo. Meneja Mkaazi wa Kampuni ya Jumia Travel Tanzania, Fatema Dharsee (kulia), akimkabidhi tuzo Flora Rwehumbiza katika hafla hiyo. Meneja Mkaazi wa Kampuni ya Jumia Travel Tanzania, Fatema Dharsee akimkabidhi tuzo ya Ushirikiano Mkubwa mwaka 2016 kwa Meneja wa Huduma za Hoteli ya Amaan Bungalows, Daudi Fundi (kushoto). Hafla ya sherehe hizo zilifanyika jana katika ukumbi wa Mayfair jijini Dar es Salaam. Meneja Mkaazi wa Kampuni ya Jumia Travel Tanzania, Fatema Dharsee (kulia) akikabidhi tuzo ya Mshirika Bora Katika Biashara mwaka 2016 kwa Mtendaji wa Mauzo wa Hoteli ya Serena ya jijini Dar es Salaam, Emma Sizya.  Meneja Mkaazi wa Kampuni ya Jumia Travel Tanzania, Fatema Dharsee (kushoto), akizungumza na wanahabari. MTANDAO...

Tigo, Ebony FM kushirikiana uzinduzi tamasha la Mtikisiko mikoa ya Kusini

Mkurugenzi wa Tigo Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga (kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa matamasha ya Mtikisiko yanayolenga kunyanyua sekta ya muziki yatakayofanyika katika mikoa katika mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya kwa uratibu wa radio ya Ebony FM Iringa: Kampuni inaongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali Tigo Tanzania leo imesaini rasmi uzinduzi wa tamasha la mwaka la Mtikisiko kwa kushirikiana na kituo cha redio cha Ebony FM ambacho kina wasikilizaji wengi katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Mtiririko wa matamasha hayo ya mwaka unatarajiwa kuanza Novemba 19 hadi 26 katika mikoa ya Njombe na Mbeya kwa pamoja ambapo onesho la fainali litafanyika Desemba 10, 2016 mkoani Iringa. Akizungumza katika uzinduzi wa tamasha hilo mkoani Iringa, Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kusini Jackson Kiswaga alisema, “Tigo kila mara inakuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kwamba vipaji vinavyoibukia katika sekta ya m...