Skip to main content

Posts

Showing posts from February 29, 2016

Mabweni ya shule ya Sekondari Iyunga jijini Mbeya yateketea kwa moto

Askari wa Kikosi cha Zimamoto Jijini Mbeya, akiendelea na jitihada za kuuzima moto unaoendelea kuwaka na kuteketeza Mabweni ya shule ya Sekondari Iyunga jijini humo, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa, na jitihada za kuuzima zinaendelea. Kikosi cha Zimamoto Jijini Mbeya, kikiendelea na jitihada za kuuzima moto huo. Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Iyunga jijini Mbeya, wakiwa nje ya Shule yao wakiangalia bila kujua cha kufanya wakati Mabweni yao yakiteketea kwa moto.

Brexit would negatively affect lives of millions, official UK report says

Cabinet Office says UK would spend years renegotiating trade and other agreements with EU and non-EU countries   European Union flags in Brussels. Photograph: Olivier Hoslet/EPA Anushka Asthana and Heather Stewart Car manufacturing, farming, financial services and the lives of millions of Britons living in Europe will all be affected as the UK takes 10 years to extricate itself from the EU, an official report says. The government’s first official analysis into how Brexit would unfold in practice says a decade of uncertainty would hit “financial markets, investment and the value of the pound”. It also warns that the rights of 2 million British expats to work and access pensions and healthcare in EU countries may no longer be guaranteed. Written by civil servants in the Cabinet Office, and seen first by the Guardian, the document says that it would not be feasible to leave the EU within the two-year time frame stipulated by existing treaties. “A vote t...

Mashindano ya Tigo Kili Half Marathon yafana mjini Moshi

Maelfu ya wakazi wa Moshi na wanariadha mbalimbali wakifuatilia mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushirika Mjini Moshi  Wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi  Waziri wa habari, utamaduni, Sanaa na michezo Mhe. Nape mnauye ( katikati mwenye kofia) akisubiri kufungua mbio za Tigo Kili half Marathon 2016, mkoani Kilimanjaro, kulia kwake Meneja masoko Olivier prentout atika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi .  Wanariadha wa Tigo Kili half Marathon wakisubiri kuanza mbio katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi  Wafanyaka...