Skip to main content

Posts

Showing posts from January 20, 2018

SHILINGI MILIONI 100 ZAKOPESHWA KWA WANAWAKE NA VIJANA MUFINDI

Sehemu ya Viongozi wa Makundi 37 ya Wanawake na Vijana wakiwa ndani ya ukumbi wa Halmashauri kupokea hundi za Vikundi vyao. Viongozi katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Vikundi wakiwa wameshika hundi zilizoambatishwa na Vocha. Jumla ya s h ilingi Milioni 100, zimetolewa kwa sharti la Mkopo kwa vikundi vya Wanawake na Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, ikiwa ni utekelezaji wa takwa la sheria inayozitaka mamlaka za Serikali za mitaa nchini kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa lengo la kuwakopesha vijana na Wanawake ili wajiajiri kupitia shughuli za kijasirimali hivyo kuboresha maisha yao. Akisoma taarifa ya Mikopo hiyo, Mkuu wa Idara ya maendeleo ya jamii Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Bw. Hatibu Bwashehe, ametanabaisha kuwa, kati ya vikundi hivyo, vikundi 22 vya wanawake vimekopeshwa jumla ya shilingi Milioni 62, wakati vikundi 15 vya Vijana vimenufaika na Mkopo huo kwa kupata shilingi Milioni 38. Akizungumza kabla ya kukabidhi hu...