Skip to main content

Posts

Showing posts from October 13, 2017

Rigobert Song afariki dunia

Mwanasoka wa kimataifa wa zamani wa Cameroon, Rigobert Song amefariki dunia. Song alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi. (RIP)

Energy drinks leave new father with hole in his skull, fighting for his life during son's birth

A mother of one is speaking out after her husband's energy drink consumption nearly cost her family everything. In a post shared on Endres Photography 's Facebook page, a woman named Brianna described the heart-wrenching battle that she and her husband Austin ended up having to fight while simultaneously preparing for the birth of their first child. "Being pregnant is supposed to be one of the most amazing journeys you will ever embark on," Brianna wrote. "You're creating a new life. You are experiencing unconditional love for someone you have not even met. Austin and I were so excited to meet our little boy. To bring him home. To be a family." Amid her soon-to-be growing family's bliss, Brianna said she received news from her mother-in-law that would leave her whole world "shattered within hours." "I still remember my mother in law waking me up that morning. 'Austin had an accident' she said. All I knew...

AMKA NA MAGAZETI YA LEO NA TUMBUSI BLOG (ZAMANI SIMBAYA BLOG)

Share

WAZAZI WA KWAMISHA UTOAJI WA CHAKULA SHULENI

Baadhi ya wazazi wakifuatlia kikao cha wazazi katika Shule ya msingi Muungano manispaa ya IRINGA, mkoani IRINGA leo. (Picha na Friday Simbaya) IRINGA: SHULE ya msingi Munnugano katika manispaa ya Iringa, mkoani Iringa imesitisha mpango wakutoa uji kwa wanafunzi kwa muda kutokana na wazazi kusuasua kutoa michango. Hayo yalielezwa na mwalimu mkuu wa shule ya msingi muungano Richards Nchimbi wakati wa kikao cha wazazi kilicholenga kutamubulisha kamati mpya ya mpango jamii wa uhamasishaji na utekelezaji elimu (MJUUE) Ushirikiano wa Wazazi na Waalimu (UWAWA) jana kupitia program ya USAID Tusome Pamoja. Alisema kuwa kutokana na wazazi kutoona umuhimu wa watoto wao kupata uji mwalimu mkuu kwa kushirikiana na kamati ya shule hiyo wamesitisha mpango wa chakula shuleni hadi hapo baadaye. Nchimbi alisema kuwa shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 700 lakini ni watoto kumi (10) tu kwa sasa ndio wanaokunywa uji shuleni na kupelekea kushindwa kulipa gharama ya mpishi ya shilingi ...