Skip to main content

Posts

Showing posts from September 8, 2014

TUPSE KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI WAPATA VIONGOZI WAPYA

  Katibu wa TUPSE Taifa, Edson Eliya Kivelege akiongea na waandishi wa habari muda mfupi wa kutangaza viongozi wa kanda ya nyanda za juu kusini cha chama hicho jana. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA Na Friday Simbaya, Iringa Chama cha Wafanyakazi Walinzi Binafsi Tanzania (TUPSE) Kanda za Nyanda za juu Kusini kimepata viongozi wapya watakao kuwepo madarakani kwa kipindi cha miaka mitano, imefahamikia.

VIJANA ZAIDI YA 3000 WAMALIZA MAFUNZO MAFINGA JKT

Mgeni rasmi afande kanali John Julius Mbungo (mwenye miwani) ambaye pia ni mwanasheria mkuu wa jeshi la kujenga taifa akipokea salamu na baadaye kukagua gwaride kwa, kumuakilisha mkuu wa jeshi la kujenga taifa kwenye sherehe ya kumaliza mafunzo ya awali ya kuruti wa JKT kundi la miaka 50 ya muungano (kujitolea na mujibu wa sheria awamu ya kwanza 2014) katika kikosi cha 841 KJ Mafinga, mkoani Iringa.(PICHA NA FRIDAY SIMBAYA Kijana wa kikundi cha kombati karate akionesha umahili wakunyanyua ndoo za maji kwa meno kwenye sherehe ya kumaliza mafunzo ya awali ya kuruti wa JKT kundi la miaka 50 ya muungano (kujitolea na mujibu wa sheria awamu ya kwanza 2014) katika kikosi cha 841 KJ Mafinga, mkoani Iringa. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA Kikundi cha sarakasi kikitoa burudani kwenye sherehe ya kumaliza mafunzo ya awali ya kuruti wa JKT kundi la miaka 50 ya muungano (kujitolea na mujibu wa sheria awamu ya kwanza 2014) katika kikosi cha 841 KJ Mafinga, mkoani Iringa leo. (PICHA...