Skip to main content

Posts

Showing posts from March 23, 2017

MASHIRIKA YA UMMA JIANDAENI KUCHANGIA BAJETI YA SERIKALI

mkurugenzi miliki na miradi wa miradi wa kituo cha mikutano cha AICC Victoria Kamagenge akiwa anawaonyesha kamati Ya uwekezaji wa mitaji ya uma PAC moja ya mradi unaojegwa na kituo cha mikutano cha AICC jijini Arusha mradi unaogarimu kiasi cha shilingi bilioni 2.8 baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PAC) wakiwa wanateta jambo wakiendelea kukagua mbunge wa jimbo la Bunda mjini Ester Bulaya akiwa anakula na wakandarasi wa jengo jipya la maonyesho linalojengwa na kituo cha mikutano cha AICC wakati walipofanya ziara na Kamati ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PAC Kamati ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PAC) wakiwa katika picha ya pamoja  Na Woinde Shizza,,Arusha Kamati ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PAC) imeyataka mashirika ya umma 265 yalilopo hapa nchini, kuanza kujiandaa kuchangia bajeti ya serikali kuanzia mwaka ujao wa...

MAGAZETI LEO IJUMAA

Chipolopolo Test Warriors in Friendly

Emmanuel Mayuka Zambia has now opted to play Zimbabwe in an international friendly match on Sunday 26 March, in Harare after the proposed game against Tanzania fell through. The Chipolopolo were scheduled to play the Taifa Stars of Tanzania on Friday in the first match and Sunday in the second fixture in Dar es Salaam during the Fifa international window. Faz General Secretary Ponga Liwewe confirmed to Fazfootball.com that the team summoned by coach Wedson Nyirenda remains unchanged. Nyirenda has called 28 players for Sunday’s match away in Harare with two foreign-based players who are Emmanuel Mayuka and Kennedy Mweene. The team is camped at the Intercontinental Hotel and is expected to have its first full training session on Wednesday morning. Nyirenda is preparing the team for the African Nations Championship against Swaziland in July while also having an eye on the Africa Cup of Nations engagement against Mozambique in June. FULL TEAM GOALKEEPE...