Skip to main content

Posts

Showing posts from October 26, 2017

MPANGO WA KKK WAPATA MAFANKIO

Muwezeshaji wa ushiriki wa jamii katika elimu (CEF)Sarah Dotto ambaye pia mratibu mradi wa Tusome Pamoja  wilaya ya iringa, mkoani iringa akitoa maelekezo kwa wajumbe katika kikao cha mrejesho cha kuwakilisha mipango ya shule zao uliofanyika katika shule ya wasichana ya Ifunda hivi karibuni. (Picha na Friday Simbaya) Baadhi ya wajumbe kutoka vijiji mbalimbali katika wilaya ya iringa, mkoani iringa wakifuatilia mkutano wa mrejesho wakati wenzao wa kiwakilisha mipango ya shule zao uliofanyika katika shule ya wasichana ya ifunda hivi karibuni. (Picha na Friday Simbaya) Na Friday Simbaya, Iringa Wadau mbalimbali wa sekta ya elimu mkoani Iringa wamesifu mradi ya ‘USAID Tusomo Pamoja’ unaolenga kuongeza umahiri katika kujua kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK). Wakiongea kwa nyakati tofauti wadau hao walisema kuwa mradi huo umeleta ufansi katika shule za msingi mkoani hapa hasa shule ambazo zipo kwenye mradi. Walisema kuwa wanafunzi wamejengewe uwez...