Skip to main content

Posts

Showing posts from February 18, 2016

PAMBAZUKA NA SIMBAYA BLOG KWA MAGAZETI YA LEO IJUMAA

APUMZIKE KWA AMANI RAHA YA MILELE AMPE EE BWANA!

Picha ya pamoja ya wanandugu mbalimbali baada ya maziko ya ndugu yetu marehemu Materu Mwamlima leo jioni wilayani Mbozi mkoani Mbeya.

Tigo yatoa msaada wa millioni 10/- kwa waathirika wa mafuriko Pawaga Iringa

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kusini, Jackson Kiswaga, akikabidhi msaada wa mabati kwa Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh Amina Masenza (katikati) , ikiwa pamoja na msaada wa vyakula na vifaa vya kujengea nyumba vyenye thamani ya millioni 10/- kwa familia zilizoathirika na mafuriko katika kata za Pawaga na Idodi, mkoani Iringa,wanaoshuhudia pembeni ni viongozi kutoka serikalini makabidhiano hayo yalifanyika jana .  Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kusini, Jackson Kiswaga, akikabidhi msaada wa magodoro kwa Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh Amina Masenza (katikati) ikiwa pamoja na msaada wa vyakula na vifaa vya kujengea nyumba vyenye thamani ya millioni 10/- kwa familia zilizoathirika na mafuriko katika kata za Pawaga na Idodi, mkoani Iringa,wanaoshuhudia pembeni ni viongozi kutoka serikalini makabidhiano hayo yalifanyika jana . Magodoro waliyokabidhi tigo ikiwa ni ikiwa pamoja na msaada wa vyakula na vifaa vya kujengea nyumba vyenye thamani ya millioni 10/- kwa familia ...