Skip to main content

Posts

Showing posts from July 18, 2016

MAGAZETI YA LEO TZ NA NJE

TANZANIA   KENYA

SERIKALI YATOA MSIMAMO WAKE KUHUSU BENKI YA TWIGA BANCORP

Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu msimamo wa Serikali kuhusu Benki ya Twiga Bancorp. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Cosmas Kimario na Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utawala, Amina Lumuli. Maofisa wa Benki hiyo wakiwa kwenye mkutano huo. Mkutano na wanahabari ukiendelea. Mpiga picha za magazeti Loveness Benard akiwa kazini ' hapana kuchezea kazi hapa kazi tu' .............................................................................. MSAJILI wa Hazina Ndugu Lawrence Mafuru ametolea ufafanuzi taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari kuhusu msimamo wa Serikali kwa Benki ya Twigabancorp. Taarifa hiyo ilieleweka vibaya kuhusu msimamo wa Serikali kwa benki hii ya Twiga Bancorp. Naomba nieleze kwamba kwa hivi sasa Serikali inasubiri mapendekezo ya kitaalamu yatakayowezesha kutatua changamoto za kimtaji za Twiga Banco...