Skip to main content

Posts

Showing posts from March 4, 2016

MAGAZETINI LEO JUMAMOSI

SHEHENA ZA SAMAKI ZAKAMATWA...

Na Esther Macha,Tunduma SHEHENA za samaki ambao wameingia Nchini kinyemela zimekamatwa katika miji mbalimbali mkoani Mbeya, kupitia Oparesheni maalum inayotekelezwa na Idara za Uvuvi za wilaya kadhaa zilizoko pembezoni mwa mkoa wa Mbeya. Msimamizi mkuu wa Oparesheni ya kukamata samaki wasiolipiwa kodi,Bakari Lulela alisema kuwa samaki hao wanatokea Nchini China kupitia nchi jirani ya Zambia, ambao bado uhakika wa matumizi yake haujathibitishwa. Alisema kwamba oparesheni ya msako wa duka hadi duka kuondoa samaki wanaodaiwa kuingia kwa njia za panya na kusambazwa katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini unaendelea. “Samaki hawa wameingia nchini kupitia mpaka wa Tunduma,kwa kusafirishwa kisiri hadi kwa walaji hali ambayo inaweza kuhatarisha maisha ya wananchi”alisema Ofisa huyo. Kwa upande wake Ofisa Mfawidhi wa Idara ya Uvuvi Mpaka wa Tunduma Francis Mpatama alisema maeneo mawili tu mjini Mbeya tayari idadi ya samaki wasiolipiwa kodi wame...

USIKU WA MISS DEBORA MKAMA WA ILEMELA MKOANI MWANZA WAFANA

Jana usiku March 03,2016 ulikuwa ni Usiku wa Miss DEBORA JACKSON ROSKA MKAMA (kushoto) mkazi wa Lumala, Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza. Ulikuwa ni Usiku maalumu kwa ajili ya Miss Debora kwa ajili ya SENDOFF PARTY iliyofanyika katika Ukumbi wa Ebeneza ulioko katika Kanisa la KKKT Iloganzara Manispaa ya Ilemela. Miss Debora anatarajia kufunga Pingu za Maisha na Mwanahabari na Mtangazaji wa Radio Storm Fm ya Mkoani Geita, JOEL MADUKA, siku ya kesho March 05,2016 katika Kanisa la AICT Igoma Jijini Mwanza na baadae sherehe kuhamia katika Ukumbi wa Mwanza Youth Centre uliopo Mlango Mmoja Jijini Mwanza. Mwenye Kinasa sauti pichani juu ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sendoff akiwakaribisha Waalikwa. Mwenye Kinasa sauti ni Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, Ilemela Mkoani Mwanza Dkt.Daniel Kulola akimkaribisha bibi harusi Mtarajiwa pamoja na wageni waalikwa kwa maombi. Bibi harusi Mtarajiwa Debora Jackson akikata utepe kuingia Ukumbini Kushoto ni bi...

REVIEW WORKSHOP OF TANZANIA HUMAN DEVELOPMENT REPORT 2017

Executive Director of ESRF, Dr. Tausi Kida, speaks during a two-day review workshop on the first drafts of background papers for Tanzania Human Development Report 2017 in Dar es Salaam, March 3, 2016.(Photos; K-VIS MEDIA/Khalfan Said). Principle Research Associate, ESRF, Marc Wuyts, presents his paper. Professor Wangwe, (top to bottom), speaks at the beginning of a two-day review workshop on the first drafts of background papers for Tanzania Human Development Report 2017 in Dar es Salaam, March 3, 2016. Research Fellow of ESRF, Danford Sango, on behalf of his Executive Director, makes his opening remarks at the start of a two-day review workshop on the first drafts of background papers for Tanzania Human Development Report, THDR, 2017 in Dar es Salaam, March 3, 2016.  Principle Research Associate, ESRF, Marc Wuyts, presents his paper. Executive Director of ESRF, Dr. Tausi Kida (L), and Professor Wangwe, listening atten...