Skip to main content

Posts

Showing posts from December 12, 2014

StarTimes yazindua huduma zake mkoani Iringa

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Dkt. Leticia Warioba  (katikati) akipata  maelezo namna ya kujiunga na vifurushi wa king'amuzi cha StarTimes  kutoka kwa afisa habari na masoko, Erick Cyprian huku meneja wa tawi  la StarTimes mkoa wa iringa Boki Shabani wakati uzinduzi  wa duka hilo leo.  Mwanafunzi wa darasa la nne wa shule ya msingi mlangali, manispaa ya I ringa, Grace Nyimbi akifurahia zawadi ya kalama kwa kujaribu kuandika  wakati uzinduzi  wa duka hilo leo. Mkaguzi msadizi wa wilaya, Ibrahim D.RC akipekea zawadi ya kisimbuzi  kwa ya OCD Iringa kutoka meneja wa tawi la startimes mkoa wa iringa,  Boki Shabani wakati uzinduzi  wa duka hilo leo. Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Dkt. Leticia Warioba akipekea zawadi ya  kisimbuzi huku meneja wa tawi la startimes mkoa wa iringa, Boki  Shabani akishuhudia wakati uzinduzi  wa duka hilo leo. (PICHA ZOTE NA  FRIDAYSIMBAY...