Skip to main content

Posts

Showing posts from February 24, 2016

STATEMENT BY HEAD OF UN MISSION IN TANZANIA ON THE OCCASION OF THE 50TH ANNIVERSARY OF UNDP

UN Resident Coordinator in Tanzania and UNDP Resident Representative, Mr. Alvaro Rodriguez. Today marks the 50th Anniversary of the United Nations Development Programme (UNDP). Founded in 1966, UNDP now works in some 170 countries and territories to help eradicate poverty and reduce inequalities and exclusion. In Tanzania, UNDP support began in May 1978. Since then, UNDP has continued to serve as a critical member of the UN team in the country, which has collectively supported the government in achieving its development agenda through aligning its support specifically to the national development priorities. In addition, UNDP has helped strengthen the government’s capacity to manage and coordinate international development assistance through the development of strategies, action plans and an improved aid management system to facilitate national leadership. UNDP in particular has supported the development of a national framework for reducing emissions from deforestati...

Tigo yafikisha upatikanaji wa huduma ya 4G LTE Moshi

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kaskazini George Lugata (katikati)  akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) katika uzinduzi wa huduma ya 4G LTE jijini Dodoma, kushoto ni Meneja wa huduma ya 4G LTE, Benedict Mponzi na kulia kwake ni Meneja Masoko wa kanda ya kaskazini  Kephar Kileo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mapema leo mjini Moshi. Meneja wa huduma ya 4G LTE, Benedict Mponzi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) katikati ni  Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kaskazini George Lugata na kulia kwake ni   Meneja Masoko wa kanda ya kaskazini  Kephar Kileo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mapema leo mjini Moshi. Moshi, Februari 24 2016. Wateja wa Tigo waishio Moshi sasa wanaweza kupata mtandao wa intaneti wenye kasi kubwa zaidi kufuatia upanuzi wa upatikanaji wa huduma ya 4G LTE hadi kufikia jiji hilo lilopo kaskazini mwa Tanzania Teknolojia ya 4G LTE ina kasi mara tano zaidi kul...

Mafanikio ya kipindi cha Radio cha Walinde Watoto katika kupunguza ukatili kwa watoto

Mratibu wa kipindi cha walinde watoto Neema Kimaro akiongea na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya kipindi hicho pembeni yake ni Mwandaaji wa kipindi cha Walinde Watoto Kimela Billa katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika mapema leo katika studio za True Vision ambao ndio waandaaji wa kipindi hicho chini ya udhamini wa UNICEF na uratibu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa ushirikiano ofisi hizo zipo Mikocheni, Jijini Dar Es s salaam"  Mwandaaji wa kipindi cha Walinde Watoto Kimela Billa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya kipindi hicho katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika mapema leo katika studio za True Vision ambao ndio waandaaji wa kipindi hicho chini ya udhamini wa UNICEF na uratibu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa ushirikiano ofisi hizo zipo Mikocheni, Jijini Dar Es s salaam.  Mwandishi wa habari kutoka kituo...

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

TRUMP ASHINDA KURA ZA MAONI NEVADA

Domokaya anazidi kupeta kura za Maoni 'UKAWA' ya Marekani. Mzee wa Vimbwanga aliyesema akishinda Uchaguzi tu anamtia ndani Mugabe na Museveni.

Daily Bread Life Ministries Tanzania watoa msaada kwa waanga wa mafuriko Pawaga

Mchungaji wa Daily Bread Life Ministries Tanzania (DBL), Neema Mpeli Mwaisumbe  (kulia) akikabidhi msaada wa madogoro 15, mablanketi 10 and mashuka 10kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza kwa ajili ya waathirika wa mafuriko huko Pawaga. (Picha na Friday Simbaya) Mchungaji wa Daily Bread Life Ministries Tanzania (DBL), Neema Mpeli Mwaisumbe ambaye aliongozana na mratibu wake Mchungaji Pawde Scout Mwasanje wamekabidhi msaada wa magodoro 15,  mablanketi 10 na mashuka 10 wenye thamani ya laki saba na sabini (770,000/-)leo kwa ajili ya kusaidia waathirika wa mafuriko wa Pawaga na Mbolimboli, Iringa Vijijini. Shirika la hilo la kidini la Daily Bread Life ambalo linaongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Mchungaji Mpeli Mwashumbe limekabidhi vifaa hivyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela kwa niaba ya waathirika wa mafuriko wa Pawaga na Mbolimboli, Iringa Vijijini mkoani Iringa. Shirika hilo pia lina kituo cha k...

Media owners challenged to support regional journalists

MBEYA: It is now six years since former Tanga Regional Commissioner (RC) Said Kalembo challenged media owners and editors to support upcountry reporters with facilities to enable them to report objectively and enhancing professionalism.  RC Kalembo issued the advice in 2010 in his opening remarks at a meeting organized by the Media Council of Tanzania (MCT) to how different media in the country reported investigative stories in the 2010 general election.  He said some regional reporters were blamed for writing unbalanced stories, but said most problems were largely being contributed by poor working conditions they faced in the line of their duties.  However, the survey conducted by this paper in two regions of Iringa and Mbeya has revealed that there is still a public outcry from journalists on poor working conditions they face in their line of duties.  Some of the reporters interviewed by this paper in the said regions above revealed that there ...