Skip to main content

Posts

Showing posts from October 21, 2014

I reached the summit of Mt. Kilimanjaro...!

  Brigid Connell On October 16th, I reached the summit of Mt. Kilimanjaro, the highest peak in Africa at 19,341ft (5,895m). It was by far the hardest and greatest accomplishment I've ever achieved, and none of it would have been possible without my dad, John Connell, the best hiking partner I could ever ask for and an inspiration to everyone he meets.    Kama simba na kifaru, sisi tuna nguvu sana na tunaweza kufany a kitu chochote.

WAZIRI MKUU PINDA AMWAKILISHA KIKWETE KWENYE MJADALA WA UWEKEZAJI AFRIKA- LONDON

Naibu Mawaziri, Charles Kitwanga wa Nishati na Madini (kushoto), Dkt. Charles Tizeba wa Uchukuzi (katikati ) na Mahadhi Maalim wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye mjadala kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014.      Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika kwenye hoteli ya Savoyy , London, Oktoba 201014.Wengine pichani ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda Rais wa Gahana,John Mahama na Rais wa Rwanda Paul Kagame.  Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu (kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallage  Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na ...

Magazeti Jumanne

OFISI YA WAZIRI MKUU YAFANYA TATHIMINI YA HALI YA CHAKULA NA LISHE MKOANI SIMIYU

Bw. Clement Ngosha wa kijijini Kabita Wilayani Busega, Simiyu, akitumia mbegu za mahindi kueleza hali ya chakula kijijini hapo kwa wataalam wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe inayofanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Oktoba, 2014 . Mtaalam wa Usalama wa chakula kutoka Wizara ya kilimo, chakula na Ushirika, Bi. Tatu Kayumbu akiihoji moja ya kaya kijijini Mwamanyili,Wilayani Busega, Simiyu wakati wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe inayofanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu kijijini hapo, Oktoba, 2014.