Skip to main content

Posts

Showing posts from October 27, 2016

Clinton races ahead of Trump with up to 14-point lead in national poll days before election

Donald Trump and Hillary Clinton trade jokes and insults at charity event ITN Democrat presidential nominee Hillary Clinton is leading her Republican rival by as many as 14 points in a national poll. Clinton is topping the majority of recent national polls, with the latest numbers from a head-to-head race by USA Today/Suffolk released on Wednesday (26 October) showing her on 49 points to 39 for Trump. And in the same poll by Reuters/Ipsos also released on Wednesday, Clinton was on 43 to Trump's 37, with a lead of six points, Real Clear Politics reported . The polls also show Clinton leading Trump in a four-way race including Independent Gary Johnson and Green Jill Stein, with the Associated Press-GfK poll showing Clinton leading by 14 points on 51, Trump in 37, Johnson with 6 and Stein with 2. Two other four-way polls have Clinton in the lead, with USA Today/Suffolk showing Clinton leading by nine points on 47, with Trump on 38, Johnson on 4 and Stein on 2...

WANANCHI KATA YA KITWIRU WAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UJENZI

Na Esta Malibiche Iringa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Msenza amewataka viongozi wa Serikali za Mitaa  kuwa waadilifu na kutojiingiza katika mauzo ya Ardhi ili kuepuka na Migogoro  ya Ardhi. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na viongozi wa kata ya Kitwiru  iliyopo Manispaa ya Iringa katika ziara yake aliyoifanya jana[leo]huku  akiambatana na katibu Tawala wa mkoa wa Iringa Wamoja Ayubu,Watalaam wa  Afya na Mazingira kutoka mkoani na Manispaa ya Iringa. Masenza alisemakuwa lengo la ziara hiyo ni kutembelea na kukagua ujenzi  holela katika Mtaa wa Kibwabwa’ B’,kukagua uchimbaji n a upondaji wa mawe  unaofanywa na baadhi ya wananchi katika eneo la shule ya Msingi Mnazi  mmojapamoja na Kukagua hali ya usafi wa Mazingira katika mtaa wa Kitwiru na  Uyole . "Ninatoa agizo kwa wale wote wanaoporomosha mawe na kujenga naomba  wachukuliwe hatua za kinidhamu.Milimani,Mabondeni na katika vyanzo vya  uhifadhi hairuh...

A-FOUR-OLD CHILD RAPED TO DEATH

IRINGA: Iringa regional police are holding a witch doctor on suspicion of the murder of a four- year –old child (name withheld) Semtema Kihesa area in the municipality of Iringa, Iringa region. The traditional healer known by the names of Peter Mtuka (44), a resident of Sumbawanga was arrested by police after body was found near his area where he do his job for interrogation. Acting Iringa Police Commander, Assistant Commissioner of Police (ACP), John Kauga said the incident occurred at around 01:30 hrs after mid night on October 26 this year. Telling a child's disappearance, acting commander said that on October 25 this year, child was playing with her friends in the neighborhoods at around 08:30hrs and 09:00hrs morning, when she disappeared in mysterious circumstances. And then at 10:00hrs in the morning the mother of the child Monica Msani went to central police station delivery information about the disappearance of her child.  Acting police commander...

MTOTO WA MIAKA MINNE ABAKWA HADI KUFA

JESHI la polisi mkoani Iringa linamshikilia mganga wa kienyeji kwa tuhuma ya mauaji ya mtoto wa miaka minne (jina limehifadhiwa) eneo la kihesa Semtema katika Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa. Mganga huyo anayejulikana kwa majina ya Peter Mtuka (44) mkazi wa Sumbawanga alikamatwa na jeshi la polisi baada ya mwili wa marehmu kukutwa karibu na eneo lake lakufanyia shughuli za uganga kwa ajili ya mahojiano.  Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Iringa, Kamshina Msaisizi wa Polisi (ACP), John Kauga amedhitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo alisema kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa 7:30 usiku Oktoba 26 mwaka huu.  Akielezea kutoweka kwa mtoto huyo, Kaimu kamanda alisema kuwa Oktoba 25 mwaka huu akiwa nyumbani kwao majira saa 2:30 na 3:00 asubuhi alitoweka katika mazingira ya kutatanisha, na ndipo saa 4 asubuhi  wazazi wake walienda kuotoa taarifa polisi kuhusu kupotea kwa mtoto huyo katika kituo cha Polisi cha kati. Alisema baada ya wazazi hao na...

RPC KINONDONI ATOA TAHADHARI KWA WAMILIKI WA MAGARI JIJINI DAR ES SALAAM

RPC Suzan Kaganda  Na Dotto Mwaibale WAMILIKI wa magari wametakiwa kuchukua tahadhari ya kuzima na kufunga milango magari yao pale wanaposimama kwa dharura kupata mahitaji mbalimbali ili kuyanusuru kuibwa. Mwito huo umetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Suzan Kaganda wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam kuhusu tukio la kuibwa kwa gari la Kapteni Innocent Dallu maeneo ya Mbezi Juu huku akiwemo mtoto wake Lightness. "Napenda kutumia fursa hii kuwaomba wamiliki wa vyombo vya moto kuchukua tahadhari ya kuzima magari yao na kufunga milango wanaposimama maeneo yoyote kupata mahitaji yao kwani si rahisi kumbaini mhalifu kwani wapo kila sehemu" alisema Kaganda. Alisema katika tukio la kuibwa kwa gari la kampteni Dallu alikuwa amesimama maeneo ya Mbezi Juu bila ya kulizima akinunua mahitaji ambapo walitokea vijana wakaondoka na gari hilo aina ya Toyota Harrier baada ya kumtelemsha m...

MAGAZETI YA LEO TZ NA NJE

TANZANIA UK

Bayport yajivunia miaka 10 ya kutoa huduma ya mikopo nafuu ya kifedha Tanzania

Dar es Salaam – Taasisi inayoongoza Tanzania kwa kubobea katika kutoa mikopo nafuu, Bayport Financial Services katika kipindi cha miaka 10 iliyopita imechangia kwa kiwango kikubwa katika kuboresha maisha ya maelfu ya Watanzania kupitia utoaji wa mikopo. Bayport Tanzania ni miongoni mwa taasisi tanzu kumi za Taasisi ya Bayport Group ambayo hutoa ufumbuzi wa kifedha kwa watu binafsi walioko katika ajira rasmi au waliojiajiri ndani ya soko linaloibukia. Huduma zinazotolewa na taasisi hiyo zinaboresha ujumuishwaji kifedha kwa watu ambao hawana uwezo wa kuzifikia huduma za kawaida za kibenki au walio na kiasi kidogo cha fedha katika benki.  Baada ya kuanza shughuli zake nchini Zambia mwaka 2001, shughuli za Bayport kwa hivi sasa zinaendeshwa katika nchi saba barani Afrika na nchi mbili ndani ya Amerika Kusini. Nchi hizo ni Zambia, Uganda, Ghana, Tanzania, Botswana, Afrika Kusini, Msumbiji, Colombia, na Mexico. Hivi sasa Bayport imekuwa ni msi...