Skip to main content

Posts

Showing posts from March 21, 2017

KITABU CHA UWIANO WA TAKWIMU ZA WANAWAKE NA WANAUME CHAZINDULIWA

Meneja wa Takwimu za Watu na Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Sylvia Meku (katikati) akiwa na wadau wakionesha kitabu cha uwiano wa takwimu za wanawake na wanaume wakati wa hafla ya kuzindua kitabu hicho iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Habari na Ulaghibishi wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids), Jumanne Issango, Ofisa wa Takwimu kutoka nchini Sweden, Cath Craiger, Mtakwimu kutoka Sweden, Ana Morkuda na Mwanahabari Philip..Kitabu hicho kimeandikwa na wanafunzi watano kutoka Tanzania waliopata mafunzo ya miezi 11 nchini Sweden. Mada kuhusu mafunzo hayo zikitolewa kabla ya uzinduzi. Wafadhili wa mafunzo hayo kutoka nchini Sweden wakifuatilia mada kuhusu mafunzo hayo. Mkurugenzi wa Habari na Ulaghibishi wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids), Jumanne Issango (kushoto) na Meneja wa Takwimu za Watu na Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Sylvia Meku ambaye alikuwa mgen...

Pikniki Adui wa Mazingira Ukanda wa Utalii

Pikiniki zinazofanywa na watu mbalimbali katika fukwe zilizoko kwenye ukanda wa utalii visiwani Zanzibar, zinachangia uharibifu mkubwa wa mazingira unaotishia kuwakimbiza watalii. Shughuli ya kusafisha mazingira iliyofanywa juzi katika eneo dogo kwenye ufukwe wa Muyuni ulioko Matemwe mkoa wa Kaskazini Unguja, ilikusanya karibu tani moja ya takataka zikiwemo chupa za plastiki. Operesheni hiyo iliyochukua saa moja, ilijumuisha wafanyakazi wa Amber Resort na Best of Zanzibar, na kusafisha eneo linaoandaliwa kwa ajili ya mradi mkubwa wa kitalii utakaofanywa na kampuni ya Pennyroyal. Akizungumza wakati wa shughuli hiyo, Meneja Mradi wa Amber Resort Murtaza Hassanali, alisema vijana wanaotembeza watalii (mapapasi) pamoja na wageni wanaofika hapo, huondoka wakiacha vitu vingi visivyofaa ambavyo hugeuka kuwa taka na sumu kwa viumbe wa baharini. Aidha alieleza kuwa, pikiniki zinazofanywa na watu kutoka mjini na maeneo mengine hasa vijana, ni chanzo kik...

Zambia name team for Tanzania friendly

FAZ President Andrew Kamanga with Coach Wedson Nyirenda FAZ has announced that Chipolopolo will face Tanzania in an international friendly during this week’s FIFA international window. Zambia will face Tanzania on Friday in Dare Salaam with another match tentatively set for Sunday. Zambia will use the game as part of the preparations for the African Nations Championship against Swaziland in July. This will be Zambia’s first match in 2017. Chipolopolo coach Wedson Nyirenda has already summoned 28 players for the Tanzania match that includes Zamalek striker Emmanuel Mayuka and Mamelodi Sundowns goalkeeper Kennedy Mweene. Nyirenda’s team was scheduled to regroup in Lusaka on Monday evening. FULL TEAM GOALKEEPERS Jacob Banda (Zesco United) Racha Kola (Zanaco) Allan Chibwe (Power Dynamos) Kennedy Mweene (Mamelodi Sundowns) DEFENDERS Taonga Bwembya (Zanaco), Donashano Malama (Nkana), Fackson Kapumbu (Zesco United), Mweene Mumbi (Green Buffaloes), Ziyo Tembo (Green Buffaloes), Isaac Shamujom...

VIDEO: Waziri mkuu mstaafu Sumaye kazungumza kinachoendelea kuhusu Makonda

MAGAZETI YA LEO JUMATANO

DHI NUREYN ISLAMIC FOUNDATION DONATES FOUR BOREHOLES TO NDULI RESIDENTS

By Friday Simbaya, Iringa THE residents of Kipululu and Igungandembwe neighborhoods in Nduli Ward, Iringa Municipality, in Iringa Region have praised Dhi Nureyn Islamic Foundation Iringa - Tanzania supporting those boreholes (water wells) with clean and safe water not long time ago. Citizens through their Ward Councillor, Bashiri Mtove thanked the institution for helping them get four wells with safe and clean water, adding that over 50 years they have never had access to clean and safe water, where previously they had used water from water gorge. They said that for many years they have been using non safe water due to the lack of potable water infrastructure, but through water wells provided their lives will improve. Maneno Mtove a resident of Igungandembwe in Kigonzile Village of said that for 50 years they have never had access to clean and safe water, unless they were using water from the ponds that are not safe for health...