Skip to main content

Posts

Showing posts from July 5, 2018

Amchinja mtoto wa miaka sita kisa muwa

Jeshi la polisi mkoani iringa linamshikilia mfanyakazi wa bustani (shamba boy) mkazi wa wilaya ya kilolo kwa tuhuma ya mauaji ya mtoto miaka sita.  Kamanda wa polisi mkoani Juma bwire makanya aliiambia nipashe jana kuwa mfanyakazi huyo Jofrey Jasephat miaka 29 mkazi wa wilaya ya kilolo mkoani iringa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya mauaji ya mtoto.  Bwire alisema kuwa tukio hilo lilitokea tarehe 04/07/2018 majira ya saa 5 asubuhi huko maeneo ya Kibwabwa “B” kata ya Kitwiru manispaa ya iringa, mkoani Iringa.  Alisema kuwa mtoto huyo ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa Kibwabwa B aliuawa kwa kukatwakatwa na mapanga sehemu za shingo na mikononi na kisha mwili wake kuhifadhiwa kwenye mfuko wa salefti na kuuficha kwenye pagale.  Kamanda huyo alifafanua kuwa chanzo cha mauaji hayo ni kutokana na kauli za maudhi kutoka kwa mtoto kwendakwa mtuhumiwa akidai yeye ni mpumbavu hafai baada ya mtoto kunyimwa mua alioomba.  ACP Bwire alis...

Polisi Iringa laanza operesheni ya kukagua liseni za madereva...

Na Friday Simbaya, Iringa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa katika kukabiliana na ajali za barabara limeanza kufanya operesheni ya kukagua leseni za madereva wote wa magari yakiwemo mabasi ya abira.  Akizungumza na waandishi wa habari jana Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa, Juma Bwire alisema kuwa kutokana na kuwepo na leseni za kugushi pamoja na kukosekana kwa mafunzo kazini kwa madereva. Alisema kuwa mafunzo hayo ni ya kukumbushana Kamanda Bwire alisema kuwa operesheni hiyo itaanza Julai 4 hadi Julai 7 mwaka huu, ambapo tarehe 9 Julai hadi Jumamosi ya Julai 14 wanatarajia madereva kwa lengo la kuwapatia mafunzo kazini. Hatua hiyo imekuja kufuatia mabadiliko ya mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP) Simon Sirro kufanya mabadiliko ya makanada wa polisi katika baadhi ya mikoa. Mabadiliko hayo kwa mujibu wa IGP ni kwa lengo la kuoongeza juhudi za kuzuia ajali zinazotokana mara kwa mara katika baadhi ya mikoa. Kwa upande wake, Salum Chang’a ambay...

Iringa Police launches the operation on the drivers’ licenses to reduce road accidents

Iringa Police in their effort to reduce road traffic accidents has begun to conduct the operation of inspecting all drivers’ licenses including the passenger buses. Speaking to journalists yesterday Iringa Regional Police Commander, Assistant Commissioner of Police (ACP)Juma Bwire said that due to the existence of licensing fake licenses and the lack of training at work for drivers was one of the factor contributing road traffic accidents. He said that training was to remind drivers on the importance of safe driving that will include refresher course to drivers. Commander Bwire said the operation will begin on July 4 to July 7 this year, but from 9 July to Saturday of July 14 expecting drivers to be given job on training. The action has come after the change of police chief in the country (IGP) Simon Sirro to make changes to police commander in some regions. The change in accordance with the IGP is aimed at increasing efforts to prevent frequent accident...