Skip to main content

Posts

Showing posts from May 13, 2016

MAMIA YA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA WAMZIKA KINYAMBE

Msanii Ringo Kitale msanii wa vituko show Mke wa Msanii Kinyambe (katikati) MBEYA: MAMIA ya wakazi ya jiji la Mbeya wamzika aliyekuwa msanii wa vichekesho James Petro Nsemwa (30) maarufu kama Kinyambe ambaye alifariki dunia jumatano mkoani Mbeya, katika makaburi ya Hayombo Uyole Igawilo mkoani Mbeya.  Msururu wa wakazi wa jiji la Mbeya pamoja na magari ulitembea kutoka nyumbani kwa wazazi eneo la makondeko mtaa wa mtakuja kata ya Igawilo kuelekea makaburi ya bonde la uyole kwa umbali kilometa tatu na nusu.  Pia baadhi ya wasanii kutoka Dar es Salaam wakiongozwa na kitale waliudhuria mazishi ya msanii mwenzao ingawa hapakuwepo na uwakilishi wa viongozi ngazi ya mkoa uliyofika mazishini .  Msiba huo uliosimamisha shughuli mbalimbali kwa muda ili kupisha msururu wa watu na magari ambao ulikuwa ukielekea makaburini yaliyopo eneo la Nsal...