Skip to main content

Posts

Showing posts from February 25, 2018

WAKULIMA WATAKIWA KUACHA KULIMA KILIMO KWA MAZOEA

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza (watatu kushoto) akishangaa gari la Benki la NMB lenye ATM ikiwa na Benki ndani yake huku Huduma za kibenki zikiendelea katika stendi ya mabasi yaendao mikoani mjini IRINGA baada ya kuzindua tawi jipya la NMB Ruaha Ijumaa wiki iliyopita. (Picha na Friday Simbaya) IRINGA: Wakulima mkoani Iringa wametakiwa kuzitumia taasisi za kifedha mkoani humo kwa kuchukua mikopo nafuu ili kulima kilimo chenye tija na kukuza uchumi wao badala ya kulima kilimo cha mazoea hali inayopelekea kushuka kwa uchumi wao.  Imeelezwa kuwa moja ya sababu inayochangia wakulima wengi kushindwa kulima kilimo cha kitaalamu ni ukosefu wa mitaji hali inayopelekea kuendelea kulima kilimo kwa mazoea  Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa iringa amina masenza hivi karibuni wakati akazindua tawi jipya la bank ya NMB Ruaha ambalo linatajwa kupunguza msongamano wa wateja huku akiwataka wananchi kuendelea kuzitumia taasisi hizo kwa kukuz...

83 ETHIOPIAN NATIONALS NABBED IN IRINGA REGION

IRINGA: Immigration Department in Iringa Region collaboration with the police once again has intercepted 83 Ethiopian nationals for illegal entry, who were in sealed Scania truck traveling from Dar es Salaam to South Africa via Malawi and Zambia, looking greener pasture.  The past few days immigration Department in Iringa arrested four Ethiopian nationals bring the number of illegal migrants bringing number to 87 since the start of crackdown on illegal migrants in the region.  According Iringa Regional Immigration Senior Assistant Commissioner of Immigration Hope Kawawa, said the illegal migrants were arrested at Mbigili area in Kilolo District, Iringa region yesterday.  He said the migrants were arrested by immigration officers in conjunction with the police force so they continued to question and bring them to court on Monday. They were found in a Scania Truck with registration number T 903 AKH belonging to Gabriel Mwakyambiki of Tukuyu in Mbeya Reg...