Skip to main content

Posts

Showing posts from March 6, 2018

Soko la Mbagala Rangi tatu lateketea kwa moto

Soko la Mbagala Rangi tatu maarufu kama Kampochea limeteketea kwa moto alfajiri ya leo.  Mwenyekiti wa Soko hilo, Mohamedy Njiwa ametaja chanzo kuwa ni hitilafu ya umeme kwenye mabanda ya soko hilo. #MwananchiUpdates #MwananchiLe o