Basi la kampuni ya Enuel lenye namba za usajili T 919 DCD kulia likiwa limegongana na lori usajili T 122 ALW mali ya Trasisco ya mkoani Arusha WATU wanne wamefariki dunia papo hapo na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya Enuel Express kugongana na lori eneo la kijiji cha Idetero wilaya ya Mufindi mkoani Iringa .
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.