PICHA NA FRIDAY SIMBAYA Akiwa amesimama nje ya ofisi ya kinyozi iliyopo mtaa wa posta mjini Iringa, mkoani Iringa, akitanzama kuzama kwa jua Msanii wa sanaa ya maigizo mainispaa ya Iringa, Erasto kilowoko (pichani) maarufu kama ‘magumashi’ametangaza kuuza figo yako moja kwa shilingi milioni 25. Kilowoko alisema akipata fedha hizo atatumia kugharamia utengenezaji wa filamu mpya anayopanga kuiandaa mwaka huu kwa ajilli kueleisha vijana kuhusu masuala ya uzalendo na uwajibikaji. “Nimekuwa nikiomba viongozi na makampuni mbalimbali wanisaisie kutimiza ndoto zangu za kuwa kioo cha jamii kwa kutoa elimu kwa njia ya filamu,” alisikika akisema msanii huyo. Akizungumza jana na nipashe magumashi alisema kuwa anataka kuuza figo ili aweze kutimiza ndoto ya muda mrefu, lakini anashindwa kufanikisha hilo baada ya wadau mbalimbali waliowafuata kuomba msaada kutomsaidia. Msanii huyo ambaye kwa sasa anajishughulisha kama kinyozi mjini Iringa alisema kuwa kati ya hizo 25,000,0...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.