Skip to main content

Posts

Showing posts from March 19, 2017

TANZANITE ONE WATOA MILIONI 20 KWA SACCOS YA MADALALI WANAWAKE WA MADINI

Madini ya Tanzanite ambayo yanapatikana eneo la mererani pekee duniani yakiwa tayari yamekatwa na kusanifiwa sasa yatauzwa kimataifa katika kituo kitakachonjengwa Arusha  Mtaalamu wa kukata madini Adam Idd Lacha akiwa anakata na kusanifu madini ya Tanzanite ya kampuni ya Tanzanite one ambayo ndio inatoa mafunzo hayo.  Waziri wa nchi ofisi ya Rais (TAMISEMI) George Simbachawene akiwa anapewa maelezo juu ya madini ya Tanzanite , na wakurugenzi wa Tanzanite One, Faisal Juma na Hussein Gonga. Alipokuwa katika kituo cha kuuza madini cha kampuni hiyo.  Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Sky Associate Group, Faisal Juma Shahbhai akizungumza na madali wanawake wa madini  Muonekano wa Mgodi wa kisasa wa uchimbaji madini wa tanzanite One Mererani kwa nje.  PICHA ZOTE NA MUSSA JUMA ANDREA NGOBOLE, PMT Kampuni ya Tanzanite One, imetoa msaada wa Sh 20 milioni kw...

WABUNGE WA UPINZANI NCHINI ZAMBIA WASUSIA HOTOBA YA RAIS BUNGENI

BORN Short Living Tall (BSLT) Executive Director Ntalasha Chisha has condemned UPND members of parliament for boycotting President Edgar Lungu’s state of the nation address in parliament yesterday. Chisha says the behavior must be strongly condemned by all well-meaning Zambians as it is not a good sign for the country’s young democracy. “Let us not import bad political tendencies that will leave a damaging impact on our democracy. This is being said in good spirit knowing that political offices are not permanent and each of us have an equal chance to lead someday. The questions we should ask then is are we sowing good seeds or bad seeds? Chisha asks. She says the role of MPs is to serve and represent the needs of people who put them in power, to advocate, protect and promote the interests of people who put them in power as well as scrutinize legislation and debate various national issues and attend to issues of business in the house. And Chisha says by failing...

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI