Skip to main content

Posts

Showing posts from December 25, 2010

CHRISMAS PHOTOS

 Tanzania ina ungana na dunia kusherehekea siku ya kuzaliwa mkombozi wa ulimwengu. Hapa ndipo mtoto Yesu alipozaliwa katika zizi la ng'ombe Bethlehemu .   Kutoka kushoto kwenda kulia ni Kris Simbaya (Jr) na Ken Simbaya (Jr) wakiwa katika pozi ya picha maeneo ya Peramiho Songea, Mkoa wa Ruvuma.   Kutoka kushoto kwenda kulia ni Friday Simbaya, Kris Simbaya, Ken Simbaya na Lina Changwa wakiwa katika picha ya pamoja siku ya Krismas. Mama Simbaya ambaye ni mke mpendwa wa mmiliki wa blog hii akiwa na watoto wake walipokuwa wa kisherekea siku kuu ya Krismas  leo jioni.

ZAWADI YA MKESHA WA NOELI

Muuguzi wa Zamu wa St. Joseph's Mission Hospital Peramiho akiwa anawaangalia watoto ambao walizaliwa kabla ya umri yaani 'Premature babies' katika Chumba cha Joto 'Premature Unit or Incubator Room' Jumamosi kuangalia kama wanaendelea vizuri lakini hawakuzaliwa kwenye Mkesha wa Krismasi wako wanne. Baadhi ya kina mama waliojifungua wakiwa wamepakata watoto wao katika Mkesha wa Krismasi katika  Hospitali ya Mtakatifu Joseph Peramiho Songea Vijijini, Mkoa wa Ruvuma. Na Friday Simbaya, Peramiho JUMLA ya watoto 13 wamezaliwa, wakiwemo wakike tisa na wakiume wanne katika Hospitali ya Mission ya Mtakatifu Joseph Peramiho mkoani Ruvuma katika Mkesha wa Noeli (Krismasi) usiku wa kuamkia LEO. Akiongea na BLOG HII, Muuguzi wa Zamu (Nursing Office in charge), Bi. Sirah Nchimbi alisema kwamba watoto wote walizaliwa kwa njia ya kawaida isipokuwa watoto watatu ndiyo waliozaliwa kwa njia ya upasuaji (surgical operation) lakini hali zao zinaendelea vizuri pamoja na mam...