KATIBU wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Sixtus Mapunda amewataka vijana wa chama hicho kuwa wa kwanza kulinda amani hata pale chama chao kinapotukanwa bila sababu na wapinzani wao katika mikutano yao ya kisiasa. Mapunda aliyasema hayo juzi kwenye mkutano wake wa hadhara alioufanya nje ya Chuo Kikuu cha Mkwawa, mjini Iringa katika ziara yake ya siku tano aliyofanya mkoani Iringa kukiimarisha chama hicho.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.