Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeunda kamati maalum kwa ajili ya kusimamia uchaguzi wakupata viongozi wapya wa klabu ya mpira ya Lipuli ya mjini Iringa inayoongozwa na mjumbe wa kamati ya uchaguzi TFF Hamimu Mahmud Omary (mwenye kaunda suti) (Picha na Friday Simbaya). Katibu mpya wa CCM mkoa wa Iringa, Christopher Magala akizungumza na waandishi wa habari mkoani Iringa jana kuhusu kuutunza na kuulinda uwanja Samora . (Picha n a Friday Simbaya) Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeunda kamati maalum kwa ajili ya kusimamia uchaguzi wakupata viongozi wapya wa klabu ya mpira ya Lipuli ya mjini Iringa, imeelezwa. Hatua hiyo imekuja baada yakuwepo mgogoro usiokwisha ndani ya klabu hiyo, na kupelekea TFF kufuatilia kwa kina mgogoro wa kiuongozi ndani ya klabu ya Lipuli FC ya Iringa. Baada ya uchunguzi wake,TFF imetoa maagizo manne yafanyike mara moja. 1. Klabu ya Lipuli ifanye uchaguzi mkuu wa kupata viongozi wake. 2. Kamati y...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.