Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mahmood Mgimwa ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini akifungua mashindano ya Ligi ya Ujirani Mwema yalioandaliwa kwa udhamini wa Shamba la miti Sao Hill mjini Mafinga wilayani Mufindi, mkoani Iringa jana. walioketi kutoka kushoto ni Meneja wa Shamba la miti Sao Hill Salehe Beleko na Mwenyekiti wa CCM (W) Mufindi ambaye pia Diwani wa Kata ya MakunguYohanes Cosmas Kaguo. Timu ya Ihefu Misiti FC ikipasha misuli kabla kuanza kwa mechi ya ufunguzi na Timu ya Ihalimba vijijini FC katika Uwanja wa Ihefu mjini Mafinga. Meneja wa Shamba la miti Sao Hill, Salehe Beleko (kushoto) akisalimia na golikipa wa Timu ya Ihalimba Vijijini FC kabla ya mechi kuanza. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti Kamati ya Michezo Sao Hill Ligi ya Ujirani Mwema, Said Aboubakar, Meneja wa Shamba la miti Sao Hill, Salehe Beleko na Mwenyekiti wa CCM (W) Mufindi ambaye pia Diwani wa Kata ya Makungu, Yohanes Cosmas Kaguo pamoja wakifuat...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.