Skip to main content

Posts

Showing posts from July 17, 2010

RAMANI YA MANISPAA YA IRINGA

Vijiji vinne (rangi ya bluu)vya Kigonzile, Mgongo, Nduli na Mkoga vya kabidhiwa rasmi katika Manispaa ya Iringa kutoka Halmashauri ya Iringa ili kupanua mipaka ya Manispaa. Halmashauri ya Iringa inakabidhi rasimi katika Halmashuri ya Manispaa ya Iringa vijiji vine vya Kigonzile, mgongo, Nduli na Mkoga kufuatia uamuzi uliofikiwa na kikao cha kamati ya fedha, mipango na utawala kuidhinishwa na kikao cha baraza la madiwani (Full Council).

MAENEO YA IRINGA

The beautiful places of part of Iringa Town.