Skip to main content

Posts

Showing posts from May 2, 2015

DK. MAHENGE AHIMIZA USAFI, UTUNZAJI MAZINGIRA NCHINI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mzingira) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Makete, Dkt. Eng. Binilith Mahenge akisoma hotuba. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mzingira) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Makete, Dkt. Eng. Binilith Mahenge (mwenye tai ya bluu) akifurahia igizo wakati wa uzinduzi wa mradi wa mazingira wilayani Makete. Kulia kwake ni Diwani wa Iniho Jison John Mbalizi, Mkuu wa Chuo VETA-Makete Ramadhan Sebbo na Mwenyekiti wa Bodi wa CCDO Majaliwa Mayova. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mzingira) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Makete, Dkt. Eng. Binilith Mahenge (mwenye tai ya bluu) akikabidhi vifaa vya michezo kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Makete (MDFA), Bosco Godigodi Mazangalila (kulia) kwa timu za mazingira (Environmental Clubs) wanaoshuhudia ni Meneja Mradi Agnes Mahenge na Mwenyekiti wa Bodi CCDO Majaliwa Mayova Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mzingira)  Dkt. Eng. Binilith Maheng...

ECONOMIC AND SOCIAL RESEARCH FOUNDATION (ESRF) GETS A NEW EXECUTIVE DIRECTOR

v Dr. Tausi Mbaga Kida. Press Release Dr Kida_1st_May_2015_FINAL.docx

UNESCO YAFURAHIA MABADILIKO REDIO JAMII

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akiendesha mafunzo ya matumizi ya kutumia TEHAMA kwa kupeleka na kupokea habari yaliyofanyika katika kituo cha Sengerema Telecentre mkoani Mwanza chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) kwa ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO). Na Mwandishi Wetu, Sengerema AWAMU ya pili ya mradi wa kuwezesha redio za jamii kuhamasisha wananchi kushiriki katika kilimo, afya na elimu unatarajiwa kuanza Julai mwaka huu baada ya awamu ya kwanza ya miaka mitatu kuonesha mafanikio makubwa. Kauli hiyo imetolewa na Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, wakati akihojiwa kuhusiana na mafunzo ya Tehama kwa Mawakala wa habari wa Redio za Jamii nchini yanayofanyika mjini hapa. Alisema japo mradi huo...