Skip to main content

Posts

Showing posts from January 18, 2013

KLINIKI YA AFYA YA UZAZI NA WATOTO

Muuguzi mmoja katika Hospitali ya Peramiho  katika Kliniki ya Afya ya Uzazi na Watoto (RCHC), Wilaya Songea (V) mkoani Ruvuma akiwapima watoto uzito kabla ya kwenda katika chumba cha maabara kupata vipimo jana.