Skip to main content

Posts

Showing posts from November 13, 2014

SERIKALI, UN, VYOMBO VYA HABARI KUTOA ELIMU DHIDI YA EBOLA

Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma kutoka Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, Said Makora (kulia), akielezea jinsi Wizara hiyo inavyopambana kutoa elimu ya ugonjwa wa Ebola kwa wananchi wakati wa kongamano lililoandaliwa na UNESCO, WHO, UNICEF, Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, uliofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), hivi karibuni jijini Dar es Salaam mkutano huo uliowakutanisha wamiliki wa Redio za kijamii kuwaelimsha Radio za Kijamii za Mikoani ni namna gani wanavyoweza kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi ya jamii ili kutoa taarifa sahihi kwa wananchi kuhusu ugonjwa wa Ebola, Ebola ni nini namna ya kujinga na dalili zake.(kushoto), Kushoto ni Mwenyekiti wa COMNETA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Redio FADECO, Sekiku Joseph.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).

THE RICHEST PEOPLE IN AFRICA: MOHAMMED DEWJI NAMED YOUNGEST BILLIONAIRE IN AFRICA

THE RICHEST PEOPLE IN AFRICA: MOHAMMED DEWJI NAMED YOUNGEST BILLIONAIRE 24. Mohammed Dewji Net Worth:  $2 BILLION Industry:  Diversified Country of Citizenship:  Tanzania Age: 39 Number of Jobs Created:  16,800 Mohammed Dewji has seen his net worth rise considerably over the past year as his MeTL group, a conglomerate in 11 countries with interests in trade, FMCG and manufacturing, undergoes significant expansion. Click here to view the view the complete profile of Mohammed Dewji