Skip to main content

Posts

Showing posts from March 29, 2017

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

KWA HISANI YA IVORI CHOCOLATE

WAKURUGENZI NCHINI WACHAGUA VIONGOZI WAO MD KAYOMBO JOHN AWA MUWEKA HAZINA

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo ambaye kachaguliwa kuwa MUWEKA HAZINA wa Wakurugenzi nchini Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Ndg Kiomoni Kibamba, ambaye kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Wakurugenzi nchini Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Ndg Anne Claire Shija (Kushoto) ambaye kachaguliwa kuwa katibu wa Wakurugenzi nchini Na Mathias Canal, Dodoma Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Manispaa kote nchini kwa kauli moja wameridhia na kuwachagua viongozi watakaowawakilisha katika kufikisha changamoto zao mbalimbali katika ngazi za juu ili kupungunza uwasilishaji wa kila Mkurugenzi kufikisha changamoto zake ngazi za juu. Uchaguzi huo umefanyika hii Leo katika ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma kwa maridhiano ya Wakurugenzi wote kwa asilimia 100% ya kura zote. Uchaguzi huo umejili Mara baada ya kumalizika kikao cha kazi kilichoongozwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa (TAMIS...

SHIRIKA LA EfG LAPUNGUZA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA SOKONI

Mwenyekiti wa Soko la Ilala Mchikichini, Jumanne Kongogo, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kupungua vitendo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo baada ya kufanyika kampeni mbalimbali za kupinga ukatili huo zilizofanywa na Shirika la Equality for Growth (EfG) kwa kipindi cha miaka mitatu. Mwenyekiti wa Soko la Kisutu, Taminu Chande, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kupungua vitendo vya ukatili katika soko hilo. Kushoto ni Katibu wa soko hilo, Suitbert Nyawalla. Mfanyabiashara wa soko la Ilala Mchikichini, Denis Ngaiza (kulia), akizungumza katika mkutano huo. Wengine ni wafanyabiashara wa soko hilo. Kutoka kushoto ni Yasin Kiluwa, Tatu Shehe na Samilla Kirundwa. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Wafanyabiashara katika Soko la Ilala Mchikichini, Betty Mtewele (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kupungua kwa vitendo vya u...

Teleios helping God-given visions become a present day reality

A cross-section of  christian women leaders from different denominations from Iringa and Mbeya regions attentively listening to guest of honour the acting Iringa regional commissioner, John Kiteve (not in picture) of behalf of Amina Masenza during the christian women conference held in Iringa Municipality, Iringa region yesterday, coordinated by Daily Bread-life Ministry Iringa -Tanzania in collaboration with Teleios Ministry from South Carolina, USA. The Teleois Ministry operates solely for the purpose of bringing honor and glory to God through Jesus Christ as His Holy Spirit guides in assisting God's people in developing God-given visions into present-day realities.(Photo by Friday Simbaya) (left to right) Pastor Neema Mwaisumbe, Pastor Mpeli Mwaisumbe both from Daily Breadlife Ministry Iringa -Tanzania, acting Iringa regional commissioner, John Kiteve, Floyd Parker and Bonnie Parker both from Teleios Ministry from South Carolina, USA. (Photo by ...