Skip to main content

Posts

Showing posts from June 2, 2011

NEGLECTED TROPICAL DISEASES

Kaimu Mganga Mkuu (W) Halmashauri ya Wilaya Songea, Dr. Stephen Mhando   akizungumza na wanasemina wakati akifungua Kikao cha Mkoa cha Kutathmini na Kuratibu shughuli za magonjwa   yasiopewa kipaumbele (Neglected Tropical Diseases) cha siku tatu mkoani Ruvuma 2010-2011, kilichofanyika Peramiho LEO. Kushoto kwake ni Mratibu wa magonjwa yasiopewa kipaumbele mkoani Ruvuma, Dr. Ida Ngowi. Magonjwa hayo ni kama vile Kichocho cha kibofu na tumbo, Usubi , Minyoo ya tumbo (Soil worms), Matende na Mabusha na vikope (Trachoma). (PICHA: FRIDAY SIMBAYA)