Skip to main content

Posts

Showing posts from December 13, 2017

Kampeni ya “Amsha Viwanda” yavuka lengo mkoani Mwanza

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Magu, George Lutengano akifungua warsha ya Amsha Viwanda iliyoandaliwa na shirika la Voluntary Service Oversea (VSO) kupitia mradi wake wa TLED iliyofanyika wilayani hapo hivi karibuni. Judith Ferdinand, Mwanza Katika kuunga mkono juhudi za Rais Dkt.John Magufuli ya nchi kufikia uchumi wa kati kupitia viwanda, wadau mbalimbali nchini wanajukumu la kubuni mbinu tofauti za kuhakikisha wanawainua wajasiriamali na hatimaye kufanya vizuri katika shughuli zao kuanzia uchakataji wa bidhaa mpaka masoko. Kwani wajasiriamali wengi nchini wanahitaji elimu ya namna ya kutunza fedha na biashara zao, kujua teknolojia bora wanazotakiwa kutumia ili wawaweze kuzalisha bidhaa zenye ubora na kwa wingi na urahisi,sehemu watakapo pata huduma za kifedha ( mikopo) kwa ajili ya kukuza na kuendeleza biashara zao pamoja na kutambua taasisi zinahusika na utoaji vibali na udhibiti ubora ili waweze kurathimisha biashara zao na bidhaa kwa ajili ya ku...