Skip to main content

Posts

Showing posts from October 8, 2010

WAKULIMA WA MAHINDI RUVUMA

  Wakulima wa mahindi kutoka maeneo mbalimabali mkoani Ruvuma wakiwa wamerundika magunia ya mahindi nje ya Maghala ya Taifa mjini Songea barabara ya Songea-Mbinga kusubiri yanunuliwe na serikali. Mkoa wa Ruvuma kati ya mikoa nchini yenye mahindi mengi kutokana na mavuno mazuri lakini yamekosa soko la ndani na kufanya debe moja la mahindi kuuzwa kati ya 2,500/- hadi 3,500/-. Hatimaye serikali imetoa zaidi ya shilingi billioni mbili (2bn/-) kwa ajili ya kununua mahindi ya wakulima mkoani hapa na vilevile serikali imefungua mipaka kwa ajili wakulima waweze kuuza mahindi kwa nchi jirani kwa sharti kutouuza mpaka akiba yao wenyewe. Marehemu Sista Bernadeta Mbawala OSB wa shirika la masista wabenedikitini wa mtakafu Agnes ya Chipole Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma, alizaliwa tarehe 27.10.1911 na alikufa tarehe 28.10.1950. maisha ya Bernadeta Mbawala, sista mwafrika, ni wimbo wa kumsifu Baba wa Milele apendaye kuwafumbulia wadogo na wanyonge siri zake. Sista Mari...