Skip to main content

Posts

Showing posts from September 26, 2014

TANZANIA IS ONE OF THE COUNTRIES WITH LARGEST TREE PLANTATIONS IN AFRICA

  A cross-section of members of tree growers association called UWAMIKI at Kifanya Village in Njombe is weeding their tree seedlings yesterday. The UWAMIKI group has a total number of 82 members and they have planted 187000 seedlings. (PHOTO BY FRIDAY SIMBAYA)  By Friday Simbaya, Njombe Tanzania is among the five countries that have the largest tree plantation areas in Africa with South Africa having the largest tree plantations areas in Africa, The SCOOP has disclosed.

PROGRAMU YA PANDA MITI KIBIASHARA YAANZA KUTEKELEZWA KATIKA WILAYA SITA

Moja ya kitalu cha kuotesha miche ya miti kilichopo katika kijiji cha Kifanya wilayani Njombe; kitalu hicho ni cha wakulima wanaounda umoja wa wapanda miti Kifanya Meneja Mawasiliano wa Mradi, George Matiko akifafanua jambo kwa wanahabari; aliyeketi ni Mkurugenzi wa Programu hiyo, Dk Maria Tham Dk Maria Tham katika mahojiano na wanahabari ndani ya ofisi zao zilizopo mjini Njombe Mwenyekiti wa kikundi cha wapanda miti wa kijiji cha Kifanya akitoa ufafanuzi wa shughuli zinazofanywa na kikundi chao PROGRAMU ya Panda Miti Kibiashara imeanza kutekelezwa katika wilaya mbalimbali za mikoa ya Iringa, Njombe na Morogoro.

SERIKALI YAZINDUA KAMPENI YA UPIMAJI VVU MAHALI PA KAZI

Katibu Mkuu Utumishi George Yambesi(kulia) akipewa ushauri nasaha kabla ya kupima VVU kwa hiari wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kuhamasisha Upimaji VVU Mahali pa Kazi uliofanyika mjini Njombe juzi Akitoa nasaha zake kwa wawakilishi wa mikoa ya Iringa na Njombe walioshiriki uzinduzi wa kampeni hiyo Hilda Kapanda mmoja wa watumishi wa halmashauri ya Njombe anayeishi na VVU akitoa ushuhuda wake Huyu Anjela Kayombo ambaye pia ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anayeishi na VVU tangu mwaka 1999 Baadhi ya watumishi wa halmashauri hiyo wakiwa katika foleni wakisubiri kupima afya zao wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo KAMPENI ya kuhamasisha Upimaji wa Virusi vya Ukimwi mahali pa kazi imezinduliwa kitaifa mkoani Njombe huku baadhi ya watumishi wenye maambukizi hayo wakilalamika kutelekezwa.

KWELI KABISA HII

Where is Zambia’s President?

Zambia's President Michael Chilufya Sata addresses the 68th session of the United Nations General Assembly at the U.N. headquarters in New York, September 24, 2013. REUTERS/Ray Stubblebine Updated | A mystery no-show at the United Nations raises speculations about the state of health of Zambia’s President, Michael Sata, who last week emphatically told the Lusaka parliament, “I am not dead.”

JESHI LA POLISI MKOA WA IRINGA LINAMTAFUTA AMOSI LEGUNJI KWA MAUAJI YA MKE

Na Friday Simbaya, Iringa Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa linamtafuta Amosi Legunji, mkulima kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mke wa ndoa aliyetambulika kwa jina Helena Mhangawi (33), kwa kumchinja shingo pamoja na kumwondoa sehemu zake siri na kutoweka kusikojulikana. Akiongea na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi mkoa Iringa ofisini kwake leo , Ramadhani Mungi alisema kuwa tukio hilo limetokea kijiji cha Mafuruto kilichopo katika Kata ya Mlowa, Tarafa ya Idodi Wilaya ya Iringa vijijini mkoa Iringa. Awali mke wa mtuhumiwa alipotea katika mazingira ya kutatanisha tangu Septemba 23 majira ya saa 2 usiku mwaka huu, ambapo mchana wa Septemba 25 mwili wake ulikutwa na majeraha sehemu mbalimbali huko shingo yake ikiwa imechinjwa pamoja na kuondoa sehemu za siri. Chanzo cha tukio hilo bado kinachunguzwa. By Friday Simbaya , Iringa Police in Iringa Region are looking for Legunji Amos , a farmer on suspicion of involvement in the murder of his wife who ...