Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Faisal Issa (Katikati) kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, akifungua Mkutano wa Wadau wa Maji uliofanyika jana Jijini Mwanza kati ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini UWURA, Mamlaka ya Maji safi na MajiTaka Mkoani Mwanza MWAUASA na Wadau/Watumiaji wa Maji Jijini Mwanza kwa ajili ya kujadili ombi la MWAUASA kutaka kupandisha bei ya maji kuanzia mwezi January mwakani. Na George Binagi-GB Pazzo @BMG Mwauasa inatarajia kupandisha bei ya maji kutoka wastani wa shilingi 669.00 kwa lita mita moja ya ujazo wa maji ambayo ni sawa na lita 1,000 hadi wastani wa shilingi 1,075.74 hiyo ikiwa ni kwa watumiaji wa majumbani na taasisi huku ujazo kama huo kwa matumizi ya kibiashara na Viwandani ikifikia wastani wa shilingi 1,62500 Kulia ni Mhandisi Mutaekulwa Mutegeki akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu EWURA Kushoto ni Osward Mutaitina ambae ni Mjumbe wa Bodi EWURA Mkurugenzi Mkuu wa MWAUASA Mhandis...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.